Ikulu ya Chamwino kufunguliwa Rasmi Mei 20, 2023

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,048
142,160
Rais wa JMT Dr. Samia ataizindua rasmi Jengo la Ikulu mpya ya Chamwino siku ya 20/5/2023

Mungu ni mwema wakati wote!

1683719570164.jpeg

 
Unazinduliwa kabla ya kuanza ku
Toka mama aanze kuzindua miradi,hakuna hata mradi mmoja amezindua ambao ameuanzisha yeye.Yote anayonzindua imeanzishwa na magufuli.kwa nini yeye hajaanzisha hata mradi mmoja mpya?
Unazinduliwa kabla ya kukamilika au baada ya kukamilika kwa mradi? Kama ni kabla ya kukamilika kwa mradi usiwe mwepesi wa kusahau miradi mingi tunaona akishuhudia utiaji wa saini lakini kama ni baada ya kukamilika tuache unafiki mradi upi mkubwa unakamilika kwa mwaka 1 au miwili maana mama yupo mwaka wa pili sasa na Kama anazindua miradi iliyoachwa na Magufuli ni sawa kabisa kwa sababu imefikisha muda sahihi wa kukamilika kwake
 
Back
Top Bottom