ipo siku utakufa
Senior Member
- Dec 8, 2016
- 146
- 529
Kikwete kafa nini sasa?Unaonekana u mtoto!! EL bado ni tajiri na biashara zake huko Kenya zinasonga!! EL bado anatisha chini chini!! JPM ni mjanja sana! Kundi la JK lilijipenyeza kwake ili atumie power yake kummaliza EL kawapotezea!! Unajua nguvu ya nyaraka za makanisani inapotoka?
JK amekwisha!! Hapati chochote zaidi ya mafao ya Urais!! Biashara zao zimenyongwa kabisa!!
EL hajafa kisiasa wala kibiashara!! Namwonea huruma Membe maana hotel zake zinakufa kwa kasi!
Anahitaji siasa za nn wakati cheo kikubwa kapata urais na kastaafu ?
Kikwete kila kukicha yupo Canada mara usa mara Nigeria mara south mara Mozambique kwa ishu za kikubwa
Tayari kaanzisha NGO kubwa Afrika
Kwahiyo utajiri ndio ushawishi???lowassa ana ushawishi gani kazi kujifungua ndani kwake ashasahaulika ...tishio chini kwa chini wapi na 2020 asigombe urais laa sivyo ataaibika
Jk kila siku mara kazungumza chuo Fulani ,mara ameteuliwa na AU aifanye mara mara ...
Jk aliyestaafu siasa ana ushawishi kuliko EL
Membe&lowassa wote washakufa
Labda hawa mawaziri waliopo na majaliwa namuona