IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

Naam, kama tulivyotangaziwa siku ya jumamosi na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu; Leo ndio siku ambayo watanzania wengi wamekuwa wakiisubiri kwa hamu kubwa. Siku ambayo Mh. Rais anatarajia kupokea ripoti ya pili ya uchunguzi wa makontena ya mchanga wa madini, ripoti ambayo itajibu hoja na maswali mengi ambayo tulikuwa nayo miongoni mwetu.

Karibu tupate kujuzana yale yatakayojiri kutoka viwanja vya IKULU jijini Dar es Salaam.

UPDATES
USITUPOTEZE MALENGO YETU LEO NI SIKU YA BAJETI YA TAIFA BAJETI YA UKWELI.
Isikilizeni kwamakini halafu muipotezee kama kawaida yenyu.
 
Naam, kama tulivyotangaziwa siku ya jumamosi na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu; Leo ndio siku ambayo watanzania wengi wamekuwa wakiisubiri kwa hamu kubwa. Siku ambayo Mh. Rais anatarajia kupokea ripoti ya pili ya uchunguzi wa makontena ya mchanga wa madini, ripoti ambayo itajibu hoja na maswali mengi ambayo tulikuwa nayo miongoni mwetu.

Karibu tupate kujuzana yale yatakayojiri kutoka viwanja vya IKULU jijini Dar es Salaam.

UPDATES
Michael Amon wengine tupo kwa mkoloni, uweke na link ikianza live ili tuweze kuona, maana ya leo sitaki kuimisi kabisa
 
IMG_20170523_152215_352.JPG
 
Ndotoo za viwanda zinaenda kuzimwa rasmi leo mwekezaji Mwendawazimu kama Jack Pemba atawekeza kwenye Mazingira ya ubabaishaji kama haya.RIP viwanda
Mwekezaji mbabaishaji kwenye mazingira wazimu ya uwekezaji.
 
Ukute imepikwa maana sio kwa matangazo hayo usiku saa 5 magari ya matangazo yanatupigia kelele eti leo tufatilie kwenye tv na radio.

Kutuharibia mda
Watendaji wa serikali wameagizwa kila mtu awepo kwenye TV CCM leo inataka kujivua gamba kwa mara ya pili.
 
Back
Top Bottom