IKULU, Rais Magufuli akutana na Wakuu wa Mikoa na kuwaagiza wagawe mashamba yasiyoendelezwa

what will happen if ardhi yote itagawanywa kwa watu bila kubakiza reserve ya ardhi? Future generation itaishi wapi...vp kuhusu mipango ya baadae ya serikali.
Ndio maana kuna watu wanaoitwa maafisa mipango miji.
Halafu ardhi inayozungumziwa ni ile ambayo imeshagawiwa kwa watu lakini wameacha mapori kwa hiyo inatakiwa iwe re-allocated
 
jamani tuungane twende kwa mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh, POUL MAKONDA tuangalie kama kuna ardhi ambayo anaweza kutusaidia tukaingia kwenye kilimo.
 
Bashite simuoni, labda ameenda kulinda makanikia
Screenshot_20170606-213928.jpg

Huyo hapo amebebwa na dady yake!!!!
Si unajua tena!!!
 
Nimemsikia jirani yangu akisema ameshindwa kuendeleza shamba alilonalo kwa sababu mabenki yamekataa kumpa mkopo sababu ya hati ya kimila hivyo hana budi kuachia shamba nimemuonea huruma kwani hakuna njia ta kumuwezesha
 
Dawa ni kuendeleza shamba hizo zingine porojo

Kuna kijiji kipo hapo Mkoa wa Pwani walinyang`anya shamba la taasisi Fulani, mwaka wa tatu hawajalima kitu. Ukishavuka mto Rufiji kwenda Nangurukuru ni mipori mitupu mbona wasio na ardhi hawaendi huko? Ukienda Mlimba hadi Tanganyika masagati, kuna mipori yenye maji ya kutosha mbona hawaendi, tena kote huko hununui, unajikatia pande lako basi.
 
Maskini chadema hawana sera kwenye mambo ya msingi et bashite pole sana nenda kaomben kura 2020 kwa jna la bashite.mwenzenu anafanya maendeleo magufuli anawajal watanzania nyie mazombie msokuwa na akili kaen na ujinga wenu
 
Haki ya nani siwaelewi kabisa hawa makapi!
Yaani mafisiem wanatufanya sisi wadanganyika kiasi hiki??
Bora hizo habari muwe mziweka kwenye jumba la makumbusho!
Usanii mchana na Usiku....vita madawa ya kulevya, wafanyakazi hewa, Tanzania ya Viwanda, mishahara hewa, Vyeti hewa,mchanga wa madini, Serikali HAINA priorities???
Mbona kama utapeli tu??
Basi Inatosha... najuta kuipa CCM kura yangu
MWENYEZI MUNGU tulipie kwa huu usanii!
 
Mbona kuna mashamba makubwa sana yakina fulani wandani ya chama hayachukuliwi na wala hayajawahi endelezwa tangu miaka ya 1980 na tunayafahamu hadi mipaka yake? Au ndio panda chuki kwa uwachukiao leo ili uje uvune baadae?

Ila kesho wengi hawaijui wanasahau kuwa wana watoto ndugu na jamaa ambao mamlaka yakiisha hawana ulinzi wala zuio wala kinga na bado wataendelea kuish na watoto wa wale wanao tendewa haya leo.

Naiona Tanzania ya visasi vikuu siku za usoni.
 
Mbona kuna mashamba makubwa sana yakina fulan wandani ya chama hayachukuliwi na wala hayajawahi endelezwa tangu miaka ya 1980 na tuna yafahamu hadi mipaka yake? Au ndio panda chuki kwa uwachukiao leo ili uje uvune baadae? Ila kesho wengi hawaijui wanasahau kuwa wana watoto ndugu na jamaa ambao mamlaka yakiisha hawana ulinzi wala zuio wala kinga na bado wataendelea kuish na watoto wa wale wana tendewa haya leo,
Naiona tanzania ya visasi vikuu siku za usoni

Mods: huu uzi unamaudhui binafsi
Wenye masikio na wasikie!!
 
Maskini chadema hawana sera kwenye mambo ya msingi et bashite pole sana nenda kaomben kura 2020 kwa jna la bashite.mwenzenu anafanya maendeleo magufuli anawajal watanzania nyie mazombie msokuwa na akili kaen na ujinga wenu
Zombie mama yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom