IKULU NI MZIGO : Kwanini Baba wa Taifa Mwl Nyerere alitamka maneno haya ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,369
Naomba wadau ambao ni wakongwe waliokuwepo wakati ule watusaidie sisi vijana wa kizazi kipya , maana kila nikifikiria sipati majibu , je Mwl Nyerere kwa kauli ile alilenga nini ikiwa yeye mwenyewe alikaa Ikulu kwa zaidi ya miaka 20 ?

Natanguliza shukrani .
 
Ngoja waje wajuvi wa mambo. Ila ninachokijua ni kuwa, Ikulu ndio sehemu ya mwisho yenye kubeba mustakabali mzima wa nchi. Siyo pa spoti spoti. Ukiwa pale, hulali, huli wala kunywa vizuri tofauti na sehemu nyingine ambako level ya responsibility inakuwa tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatakiwa kua mtulivu Sana ukiwa ikulu..hakuhtaji hasira waziwazi, ukurupukaji, kiburi, wizi, kua nasimu yenye jinamoja tu lamkewako......
Naomba wadau ambao ni wakongwe waliokuwepo wakati ule watusaidie sisi vijana wa kizazi kipya , maana kila nikifikiria sipati majibu , je Mwl Nyerere kwa kauli ile alilenga nini ikiwa yeye mwenyewe alikaa Ikulu kwa zaidi ya miaka 20 ?

Natanguliza shukrani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba wadau ambao ni wakongwe waliokuwepo wakati ule watusaidie sisi vijana wa kizazi kipya , maana kila nikifikiria sipati majibu , je Mwl Nyerere kwa kauli ile alilenga nini ikiwa yeye mwenyewe alikaa Ikulu kwa zaidi ya miaka 20 ?

Natanguliza shukrani .
Mkuu Mwalimu kabla ya sentensi alisema yafuatavyo "Kama kuna mtu au kiongozi mwenye dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania basi Ikulu si mahali pa kukimbilia", ndiyo ikaja hiyo sentensi, "Ikulu ni Mzigo".
Nafikiri Mwalimu alitaka kuwatahadharisha wanaoutaka Urals wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa, madaraka hayo ni ya uwajibikaji zaidi kwa watanzania na Rais anayechaguliwa ajitahidi kukidhi ndoto za maendeleo za watanzania kwa ujumla.

Asante kwa ufafanuzi
 
Nyerere alimaanisha majukumu mazito ya urais, akaendelea kwa kusema unapita njiani humu unakutana na watu masikini kabisa, wote hao ni mzigo wako.

Majukumu ni mazito sana, Ngosha anadai mafaili yamejaa mpaka kitandani na hayapungui, yanaongezeka kila kukicha. Ukiwa mpigaji na mpenda anasa, unaweza pia kushawishika kutumia mamlaka makubwa ya kikatiba ya urais, katika kujineemesha.

Joseph Kabila anakuja kutolewa kwa greda, inabidi atoke. Kila akiwaza maisha mapya ya uraiani wakati kapiga pesa ya maana tangu 2001 usingizi wenyewe unakata.
 
Back
Top Bottom