Ikulu na lugha za watu

ACTION PALN ndo nini?? hivi kwa nini wasiandike kiswahili tu tuelewe moja....
 
ACTION PALN ndo nini?? hivi kwa nini wasiandike kiswahili tu tuelewe moja....
Kaka bora waache hivyo hivyo kiEnglishi wangepeleka kiswahili "PALN" ingekuwa ni nini kwa kiswahili?
 
Tusije tukalaumu sana kumbe mwandishi alishaomba kupelekwa vi course vya english na uandishi lakini bado hawaja approve.Ila walivyo na matatizo hawachelewi kumwajibisha kwa kuwa aibisha.Ambacho sielewi ni kwanini ofisi kubwa kama hiyo wanaweka tangazo kabla hata ya kusomwa na wengine ndani ya ofisi ili kuona kama kuna mapungufu au mwandishi ametumia "google translator" si unajua tena shule zetu za kutumia madesa kila kitu tunataka short cut.
Kwa kweli ni aibu mimi niko tayari niwe nayapitia hayo matangazo yao kabla hawajayaweka public bure kwa ajiri ya kutunza heshima ya nchi yangu.

Below contents is for for funny


To whoever it may concern
Dear
Sir/Madame
Reference is made to your public notice that was released on 17thFebruary2012 that had a lot of typos and grammatical errors, I hereby apply for a job as a "professional public notice writer”. I do not want to replace the one already there, I just want to be part of your team and bring in my knowledge and skills in writing.
I have strong skills and techniques in writing and this include but are not limited to
1. Proof reading
2.Involving others to read my work before going public
3. Reading between lines
4. Checking for typos and grammatical errors before submitting my work.
I understand my work speak something about me, thus I always work hard to make sure I do my best in whatever task I am assigned to.
I look forward for not being called for interview because now days what matter is who you know and not what you know.
Yours
Faithful
Ku do, you do you, ku say you say me
NB:Uandishi ni tatizo kwa wengi tangazo hilo tulituia kama changamoto hata kwetu sisi,si kwamba tumekamilika,ila lile tangazo linatoka ofisi muhimu sana!
What information can you get about that office based on that announcement?I am out.
 
Kuna mengine makosa na kuna mengine ni tofauti za uandishi. Kwa mfano, naona mtu ame-highlight koma zote zilizo kuja kabla ya kuinganishi "and." Kwa mfano, integrity, and citizens Kwa kawaida mie hutumia mtindo huu kwasababu hutoa ambiguity kwenye sentensi. Mfano Mzuri sana upo kwenye sentensi iliyopigwa highlight inayosema, The objective is to enhance and promote transparent, accountability integrity and efficient and effective service delivery in these selected areas.

Koma kabla ya "and" kinasaidia kutofauti kati ya hizo "and" mbili. "And" ya kwanza inahitaji koma, lakini ya pili haitaji. Hi ni kwa sababu "efficient and effective" service delivery yanakisiwa kuwa moja tu.
 
Back
Top Bottom