Ikulu na lugha za watu

RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
1,388
Wataalam wa lugha hili tangazo la Ikulu limekaaje.

Wengine tumesomea skuli za kata.......
 

Attachments

  • Ikulu Yetu.jpg
    Ikulu Yetu.jpg
    360.6 KB · Views: 341
Mwenye ujuzi wa kukuza hiyo picha naomba msaada....
 
Uzalendo hawana kabisa hawa vilaza; kwani uzalendo ni pamoja na kukuza na kuipenda lugha yako!! Sasa mimi najiuliza kama hiyo lugha ya watu inagomba kwanini msioneshe uzalendo kwa kuandika kiswahili mnachokijua kuliko hiyo lugha ya watu?Mnaitia aibu nchi yetu yenye wasomi mahili lakini mnawabania kwa upendeleo wenu wa kishenzi!!
 
Huyo naye alisoma zamani kabla elimu haijaharibika eh?
Atajitetea kwamba Ki-english sio lugha yake!
 
Haaaaaaa office of the president...Hiv ushauri una mwisho wa kusabmit kweli?

"Makahaba uongezeka bumu linapokata,ikulu imejaa wezi manzese wanawakamata"
 
Wamechanganya adjectives, nouns na pahala pa passive wameweka active, like sms can be send badala ya can be sent. yote sababu ya kupeana ajira kwa kujuana bila kuzingatia weledi.
 
Wamechanganya adjectives, nouns na pahala pa passive wameweka active, like sms can be send badala ya can be sent. yote sababu ya kupeana ajira kwa kujuana bila kuzingatia weledi.

Kodi zetu zinalipia kila kitu pale lakini kila kukicha madudu ya kutia aibu.

Unajiuliza tangazo kama hili halikufanyiwa uhariri??....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom