Imekuwa kawaida ya wasemaji wa ikulu kujibu haraka haraka tuhuma zinazotolewa juu ya watumishi wa ikulu hasa rais kikwete.
Majuzi tumemsikia EL akidai kuwa mamlaka ya juu yake (rais) indiyo iliidhinisha mkataba wa richmond kusainiwa licha ya kutiliwa shaka na wataalam. Swali ni kitu gani kinamzuia salva na wenzake kuliongelea hili (kukanusha) kama ilivyo kawaida yao?
Tafakari!