Ikulu mbona hamjibu tuhuma hii?

Ikulu mbona hamjibu tuhuma hii?

endelea kusikiliza Leo Tena ya Clouds Fm hauwez kuona cha maana kwenye mambo magumu yanayohtaj akili.

Yes... Yes...! your Great Thinker, Iam new over here but I have seen nice contribution like that for a month now, hoja muhimu kama hii haitakiw mtu astuliwe ndo ajibu, alitakiwa kujibu on the spot. hata hivyo kuna majibu mengi tu tutayaomba hapo ofisi kuu ikiwemo meremeta, rada, nk yatalewa moja moja taratibu kwa sasa anzen na hilo la Lowasa.
 
Hakika katika kuishi kwangu sijawahi kushuhudia Rais msanii kama Jk, anastaafu akiwa ni bilionea wa kutupa kutokana na mikataba hiyo michafu ya magabacholi huku akiwa amewaachia watu wengine hata rafiki zake wa karibu vidonda vya kudumu mioyoni mwao, inafaa akatubie dhambi hii.

Katika kuishi kwako!!! Una umri gani wewe mbona nahisi una umri mdogo tu, sidhani hata 40 umefika. Endelea kuishi mkuu utayaona mengi, you never know this is TZ.
 
EL karudia tu ali hosema mwenyekiti wa ile kamati Mh Mwakyembe wakati akisoma report ya richmond bungeni... Mwakyembe alisema wameficha mengine ili serikali isianguke...
 
Jk anajijua si msafi sana ndio maana anakaa kimya kuficha aibu
 
Back
Top Bottom