Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
IKULU, TANZANIA: Rais Magufuli alivyomuapisha Rodgers William Sianga kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya.
LEO IKULU: "Vita hii ya dawa za kulevya ni kubwa hatuwezi kwenda nayo kwa mzaha, Serikali itahakikisha inasimamia sheria ya mwaka 2015" -JPM
JPM ametaka viongozi wa Serikali kuungana vita ya dawa za kulevya na mapambano yasifanywe kwa kuangalia Majina, vyeo au Taasisi wanazoongoza
LEO IKULU: Rais Magufuli amewapongeza Viongozi wote wa mikoa walioanza kukamata Watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
IKULU, TANZANIA: Rais Magufuli amvisha cheo cha Jenerali, Dkt. Anna Peter Makakala kabla ya kumuapisha kuwa Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Nataka ufanye mabadiliko makubwa Uhamiaji izalishe fedha, ukadhibiti utoaji Passport maana zimekuwa zikitolewa hovyohovyo” - JPM
"Nataka ufanye mabadiliko makubwa Uhamiaji izalishe fedha, ukadhibiti utoaji Passport maana zimekuwa zikitolewa hovyohovyo” - JPM
IKULU, TANZANIA: Rais John Magufuli alivyomuapisha Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi Nchini Algeria leo February 12, 2017