Ikulu kuna viti vya plastiki?

Kuna shida gani?

Hii nchi ni masikini. Tunataka hata magari wauze ma vxr wanunur rand rover.

Nimeona hata ofisi ya rais Dodoma iko kawaida sana.

Tunahitaji huduma, hatuhitaji kuona show off ya furniture za ulaya na Marekani.

Umewahi kuona ofisi na waziri mkuu wa Uingereza? Ni kama Musium, lakini utakuta Tanzania ofisi ya anasa huku msaada wanatoa waingereza wako simple tu.
 
Pale magogoni.mkoloni alipatengeneza kweli kweli.
Yanini kujibana Bana kama mwenye kiti wa kijiji.?
 
Arudi magogoni.
Nani amekwambia nchi hii NI masikini?
 
Msipende wala kutukuza anasa kwa viongozi wenu. Sisi bado ni nchi maskini kabisa na mamilioni ya wananchi hawana maji safi, barabara na vituo vya afya.
Kuna MTU anajua hayo!! Badala ya Wabunge kutetea madarasa bora katika majimbo yao utasikia MTU anashauri kujenga ikulu kubwa wakati dar watu wamekimbia majengo mazuri na kupeleka serekali katika hali ya dharura!!
Nawashauri serekali ijikite katika kuboresha ustawi wa jamii na kuachana na kuwekeza majengo yasiyokuwa na umuhimu was taasisi!! Fikiria Tanesco wanacha jengo dar, wanaenda kujenga jingine Dodoma huku kuna wabunge wengi majimboni hakuna madawati wala vyumba vya madarasa!! Majengo mazuri yanaotea popo dar, hadi ikulu!! Dodoma sawa ila kwa utaratibu!! Na sio mihemuko
 
Msipende wala kutukuza anasa kwa viongozi wenu. Sisi bado ni nchi maskini kabisa na mamilioni ya wananchi hawana maji safi, barabara na vituo vya afya.
Kuna MTU anajua hayo!! Badala ya Wabunge kutetea madarasa bora katika majimbo yao utasikia MTU anashauri kujenga ikulu kubwa wakati dar watu wamekimbia majengo mazuri na kupeleka serekali katika hali ya dharura!!
Nawashauri serekali ijikite katika kuboresha ustawi wa jamii na kuachana na kuwekeza majengo yasiyokuwa na umuhimu hasa taasisi ambazo tayari zina majengo ya kudumu!! Fikiria shirika kama Tanesco wanaacha jengo dar, wanaenda kujenga jingine Dodoma (je kwa hali hii tarifu zitapungua!?) huku kuna wabunge wengi majimboni hakuna madawati wala vyumba vya madarasa!! Majengo mazuri yanaotea popo dar, hadi ikulu!! Dodoma sawa ila kwa utaratibu!! Na sio mihemu ambayo itafanya kwingine kudorore
 
Mambo ya ajabu sana.Ukosefu wa maarifa.Kupenda anasa kwa kodi za wavuja jasho na Ufujaji pesa za walipa kodi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…