Muongo lazima umsute kwa lugha kali, Slaa kuitwa kidhabidhabina si tusi. Kidhabi maana yake ni muongo na dhabina wa waongo. Kwa hiyo, kidhabidhabina ina maana muongo wa waongo. Au huoni uongo wake wa kuwazido waongo?
Leo kafikia mpaka kudanganya kuwa Rais ndie mmiliki wa Dowans? Haaa, anashangaza kidhabu mkubwa huyu.
Sijui nikuite jina gani, ila una akili sawa na waliokutuma, humu hatuko ki CDM, Deep Green, CUF, UPDP, PPT,UMD n.k, we are Tanzanians wenye uchungu na nchi yetu. Wanaokwiba na mnawatetea hata nashindwa kukuelewa, ugomvi wetu uko against mafisadi na wezi, sasa ***** mmoja unavyokurupuka na kuongea vapour unatia kinyaa kupita maelezo, mambo yya ushabiki wa kisiasa yanaishia kwenye kuvaa tshirt na kofiaYaani baada ya kushindwa URAIS, kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki, Slaa na wapenzi/wanachama wake wamechanganyikiwa kabisa, hawajui wafanyalo wala wafikirialo. Kila siku ni majungu, fitina, uzushi, uzabizabina, unafiki. Kweli CDM si chama cha kuliongoza taifa hili kamwe, Mungu tuepushe nacho, amen !
Muongo lazima umsute kwa lugha kali, Slaa kuitwa kidhabidhabina si tusi. Kidhabi maana yake ni muongo na dhabina wa waongo. Kwa hiyo, kidhabidhabina ina maana muongo wa waongo. Au huoni uongo wake wa kuwazido waongo?
Leo kafikia mpaka kudanganya kuwa Rais ndie mmiliki wa Dowans? Haaa, anashangaza kidhabu mkubwa huyu.
Umeongea ushuziii............Jamani mbona kila baya awe anasukuwa tu JK, tatizo ni nini hasa ndugu zetu?
Hii sasa inafika mahali mpaka inaudhi kweli. Ndiyo maana tangu sasa bora ikulu iwekiwaporomosheeni matusi ya nguoni hivyo ndiyo mkome na umbeambea wenu huo.
Wameibuka haraka sana katika kutetea, lakini kutwambia nani ni mmiliki/wamiliki wa Dowans inakuwa kizungumkuti. Kazi Kweli kweli!
From: "Salvator Rweyemamu" rweyemamu.salvator@gmail.com
Hizi email zimeongelewa toka enzi zile 2005/ 2006, mara ikulumawasiliano@yahoo.com, ikulu@hotmail.com, sasa ni hiyo rweyemamu.salvator@gmail.com kwa mawasiliano kutoka the highest office in the country and yet budget ya IT ya ikulu ni mamia ya mamilioni.
Hivi kesho keshokutwa ikiibuliwa email yoyote ya ajabu ajabu kutoka same source (Which is very easy) mfano rweyemamu.salvator@gmail.com salva ataikataa? Can he send an email from hiyo gmail kwenda say kwa waziri wa mambo ya nje wa Afrika kusini, au secretary of state Clinton? Kwa trend hii very likely amewahi kufanya hivyo.
Halafu eti JK anasema ndani ya 5yrs anataka kila mwanafunzi awe na computer! Kwa nini asianzie huko huko ikulu kuhakikisha hawa akina salva wanaelewa IT?
Originally Posted by MfamajiSalva Rweyememu:
1. Alikuwa moja wa right wings wa kumwingiza JK Ikulu 2005 bila kumsahau Kinara wao Rostam Aziz wakitumia hela za EPA.
2. Baada uchaguzi kuisha hakupata cheo. Akamwandikia Rostam Aziz akilalama kusahauliwa. Ref. Thread iliyowahi kutolewa hapa. Matokeo yake akapewa Ukurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Before that aliwahi kufanya kazi Ricmund as public relations Officer.
3. Rostam Azizi, JK na Lowasa ni best friends in Business. The trio are the owners of Richmund a.ka Dowans.
4.Salva Rweyememu aka Boot leaker, amepanick baada ya kugundua siri imefichuka. Remember, Kabla ya hapa JK hakuwahi kutajwa explicilty kuwa ndio mmilki wa Dowans so everything was cool for him(JK) though alimtosa EL katika harakati za kuficha ukweli.
5. Hatushangai the Boot leaker kukurupuka na lugha za uswazi katika hili sasa hivi. Hapo brain haifanyi tena kazi ni mdomo tu. When you are angry or paOriginally Posted by MfamajiSalva Rweyememu:
1. Alikuwa moja wa right wings wa kumwingiza JK Ikulu 2005 bila kumsahau Kinara wao Rostam Aziz wakitumia hela za EPA.
2. Baada uchaguzi kuisha hakupata cheo. Akamwandikia Rostam Aziz akilalama kusahauliwa. Ref. Thread iliyowahi kutolewa hapa. Matokeo yake akapewa Ukurugenzi wa mawasiliano Ikulu. Before that aliwahi kufanya kazi Ricmund as public relations Officer.
3. Rostam Azizi, JK na Lowasa ni best friends in Business. The trio are the owners of Richmund a.ka Dowans.
4.Salva Rweyememu aka Boot leaker, amepanick baada ya kugundua siri imefichuka. Remember, Kabla ya hapa JK hakuwahi kutajwa explicilty kuwa ndio mmilki wa Dowans so everything was cool for him(JK) though alimtosa EL katika harakati za kuficha ukweli.
5. Hatushangai the Boot leaker kukurupuka na lugha za uswazi katika hili sasa hivi. Hapo brain haifanyi tena kazi ni mdomo tu. When you are angry or panicked , mouth works faster than the brain. And that is a typical foolish behavior of any thief when he is caught pants down.
Ukiwa kachero this could be the best time to squeeze the beans out of him, although you do not need any other proof because the reaction itself has spoken out the truth. JK is the owner of Dowans. Period
nicked , mouth works faster than the brain. And that is a typical foolish behavior of any thief when he is caught pants down.
Ukiwa kachero this could be the best time to squeeze the beans out of him, although you do not need any other proof because the reaction itself has spoken out the truth. JK is the owner of Dowans. Period
View attachment 19608
Salva Rweyemamu Vs Mohhamed Saeed Al Sahaf
former iraqi informtion Minister maarufu kama Al Sahaf....... yupi bora
Hizi email zimeongelewa toka enzi zile 2005/ 2006, mara ikulumawasiliano@yahoo.com, ikulu@hotmail.com, sasa ni hiyo rweyemamu.salvator@gmail.com kwa mawasiliano kutoka the highest office in the country and yet budget ya IT ya ikulu ni mamia ya mamilioni.
Hivi kesho keshokutwa ikiibuliwa email yoyote ya ajabu ajabu kutoka same source (Which is very easy) mfano rweyemamu.salvator@gmail.com salva ataikataa? Can he send an email from hiyo gmail kwenda say kwa waziri wa mambo ya nje wa Afrika kusini, au secretary of state Clinton? Kwa trend hii very likely amewahi kufanya hivyo.
Halafu eti JK anasema ndani ya 5yrs anataka kila mwanafunzi awe na computer! Kwa nini asianzie huko huko ikulu kuhakikisha hawa akina salva wanaelewa IT?
Mkuu Nyambala,
Haya mambo tumekuwa tukiyasema sana sana kuhusu credibility & security ya hizi email zenye ....gmail, yahoo, raha etc etc... tena kutoka a very sensitive governmental insistitution lakini hawa jamaa sijui kwa sababu wanazojua wao pengine kwa maksudi mazima au kwa malengo ya kifisadi wamekuwa wakiyafungia kioo maoni haya!
Sasa Mkurugenzi wa mawasiliano wa Ikulu ya Tanzania kucommunicate taarifa zinazomhusu rahisi wa nchi through GMAIL? haya ni matope.....na pengine hatukutakiwa kurely kabisa on this document kama si kuipeleka physically na kwenye vyombo vya habari.....is a shame!