Kikwete anatakiwa amtimue salva mara moja; asitake tumpe sababu..
Sijasema naijua dowans vizuri kwa maana ya wamiliki, naijua kama mitambo kwa maana ya mtaalamu..naomba tutofautishe hapo...Ndugu Nsiande,unapotosha mada,ingefaa uweke post yako na utueleze kwa uzuri ili sie watz tusiolewa tujue kila kitu kuhusu dowans. Unasema rais anaweza kumteua mkurugenzi wa tanesco,una maanisha kuwa Board ya Tanesco haina mamlaka kwa ilo?Kila mtu anajua kuwa rais ana power zote na pia hata kutamka Nsiande hakamatwe na kuwekwa kizuizini bila kutoa sababu kwa umma lakini haimaanishi kuwa atatumia iyo power kutenda atakapojisikia sawa mkuu? Alaf kama unasema Dowans unaijua vizuri na wewe ulihusika kwenye Commission,kwa nini usiwe huru kuwataja hata wamiliki?mpaka dr.Slaa aseme. Nyie ndo watu tunaotaka mliongoze taifa lakini mnakaa nyuma ya hoja za watu,je taifa liwaeleweje? Come on,tetea wananchi bila woga!
Eng. Nsiande nimependa jinsi ulivyoeleza lakini, naomba nikuulize kitu hata kama rais hakuvunja kipengele chochote cha sheria kwa nini asiache sheria ikachukua mkondo katika upatikanaji wa Dr. Rashid mpaka amteue yeye mwenyewe. Hata JK hakuwa na lengo baya na Dr. Rashid lakini kutokana na mchakato ulivyo unaibua maswali mengi ingawaje Dr. Rashid ni mengi ameyafanya Tanesco na hata alipoondoka baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco walionyesha kusikitishwa.RUTASHUBANYUMA, I would like to respond to your first post by giving facts ili tuwekane sawa tafadhali
A. Sheria inayounda mashirika ya umma inampa rais uwezo wa kuteua mtendaji mkuu wa shirika, hivyo uteuzi wa Dr Rashidi haukukiuka sheria yoyote, hoja kama ana uwezo ama hana ni nyingine
B. Dr Rashidi hakuidhinisha Richmond, aliingia jan 2007 na Richmond iliingia 2006 na walioiingiza si TANESCO ni Govenrment Negotiating Team, tume ya Mwakyembe imeainisha hilo.
C. Walichofanya Richmond baada ya kukosa uwezo ni kuwapa ile tender Dowans , na baraka zote from GNT
D. Dowans haikupitia kwenye Tanesco tender board bali GNT
E. TANESCO opted for Dowans because its already connected to the grid and cheaper than IPTL, all they did was to ask for permission to buy it and not 'kushinikiza' kwa mwenye kujua biashara ya umeme, kutembeza. IPTL ni billion 11 hali Dowans ni billion 2, kama mtu ni mfanyabiashara unaopt kilicho more reasonable cost ways..bei tajwa haikuwa mara 20 kwani haikuwa discussed sijui mwenzangu umepata wapi hii data ?? I commissioned Dowans and am involved in consulting change of IPTL from heavy fuel so I know what am talking about, DOWANS is better off (then )
F.ukiisoma judgement ya ICC utaona si TANESCO waliovunja mkataba ni dowans !! Walivunja na kushtaki TANESCO, thts why mitambo ilishikiliwa kwa kadhia ya kodi..
G, H and I siwezi kuyaongelea, Dr Rashidi amefanyia mengi TANESCO, ashtakiwe kwa mambo aliyofanya prior to TANESCO and not whilst there
Nimeona tu nirekebishee hii ili tujue ukweli uko vipi, kama una ya kuongezea karibu sana ila tunyooshane kwa amani
Mhandisi mifumo na njia kuu za umeme Nsiande.
[FONT=Book Antiqua, serif]Sawa mkuu Salva tumekuelewa sasa ni nani mmiliki wa DOWANS atakayeenda kupokea sh 185bn?
[/FONT]
....[FONT=Book Antiqua, serif]hatutaki kuamini kabisa wala kukubali kuwa ni kweli kauli hii imetolewa na mtu ambaye majuzi tu alikuwa akiwania kuwa kiongozi wa juu wa taifa letu, yaani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.[/FONT]
[FONT=Book Antiqua, serif]Na kama kweli Dkt. Slaa ametoa kauli hii na kusema maneno ya namna hii basi sasa Watanzania wanayo kila sababu na haki ya kuamini kuliko wakati mwingine wowote kuwa mzee huyu sasa amechanganyikiwa na ni mtu wa hatari sana kwa utulivu wa nchi hii. Kwa nini?[/FONT]
[FONT=Book Antiqua, serif]Mheshimiwa Rais Kikwete hahusiki na Kampuni ya Dowans wala na kampuni nyingine yoyote ya kibiashara. Yeye ni kiongozi wa juu kabisa wa siasa wa nchi yetu na siyo heshima wala haki kumhusisha na jambo la kutunga na kuzua na lisilokuwa la ukweli wowote.[/FONT]
[FONT=Book Antiqua, serif]Mwaka huu, Dkt Slaa aliwania urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na akashindwa vibaya sana. Tokea wakati huo amekuwa mtu wa kutunga na kuzua stori za kila aina ya uongo na umbea kuwachanganya Watanzania kwa sababu ya kinyongo chake cha kushindwa. [/FONT]
Ukiona waraka toka ikulu imepambwa na matusi kama vile KIZABIZABINA basi usisubiri sana mtu akueleze kwamba madai husika ni ya kweli kiasi gani. Taasisi ya heshima kutumia lugha za kihuni?
Kama Dr Slaa kajianzia tu uongo usio na msingi wowote basi hata nayo ikulu inahaki ya kutafuta sheria mahamani kuilinda na wala si kuandika lugha pungufu ya STAHA na kuisambaza kwa vyombo vya habari.
Mwandishi wa habari mwandamizi na mwenye historia inayoheshimika katika taaluma yake kama Dr Salva Rweyemamu alishindwa vipi kujizua na roho yake kutilia sahihi yake lugha kali kiasi hicho kwenda kwa jamii!!!
Mh...Nenda BRELA au Chamber of Commerce, hiyo si kazi ya Salva.
Amesahau ya Celina Kombani na Werema, wanakimbilia kutoa matamko huku mhusika yuko kimya anasikilizia. Salva atatafuta mahali pa kujificha siku JK atakapobanwa na kukubali kuwa ana hisa Dowans, kama alivyobanwa na kukubali katiba mpya na kuwaacha akina Selina wasielewe nini cha kusema tena!Salva mdogo wangu - Ipo siku ukweli utafahamika na wewe utakuwa wa kwanza kupigwa pingu - Hiyo ndiyo tabia ya historia!
Eng. Nsiande nimependa jinsi ulivyoeleza lakini, naomba nikuulize kitu hata kama rais hakuvunja kipengele chochote cha sheria kwa nini asiache sheria ikachukua mkondo katika upatikanaji wa Dr. Rashid mpaka amteue yeye mwenyewe. Hata JK hakuwa na lengo baya na Dr. Rashid lakini kutokana na mchakato ulivyo unaibua maswali mengi ingawaje Dr. Rashid ni mengi ameyafanya Tanesco na hata alipoondoka baadhi ya wafanyakazi wa Tanesco walionyesha kusikitishwa.
Mpaka ifikiwe rais anasingiziwa kuwa ndiyo miliki wa Dowans, na yeye ikiwa hana maslahi inakuwaje hapo? Yaani ninavyofahamu, mtu ikifikia hatua ya mtu kukashifika kwa niaba ya watu wengine inatia mashaka, uubebe msalaba wa mtu mwingine wakati wewe wa kwako unakushinda!!!!! Eng jiulize kwa makini najua wewe unajua mengi kuliko mimi kutokana na jinsi ulivyoandika lakini hapa rais wetu lazima asikubali kuangikwa msalabani kwa kisingizio cha siri ya nchi, aweke wazi vinginevyo naye ataonekana ana maslahi.
NI MTAZAMO TU.
Muongo lazima umsute kwa lugha kali, Slaa kuitwa kidhabidhabina si tusi. Kidhabi maana yake ni muongo na dhabina wa waongo. Kwa hiyo, kidhabidhabina ina maana muongo wa waongo. Au huoni uongo wake wa kuwazido waongo?
Leo kafikia mpaka kudanganya kuwa Rais ndie mmiliki wa Dowans? Haaa, anashangaza kidhabu mkubwa huyu.
Ngumu....haitaleta maana ...hivi ndivyo alivyotumwa aseme na bosi wake..hakuna anachokitoa kichwani mwake kwa sasa...Kikwete anatakiwa amtimue salva mara moja; asitake tumpe sababu..
From: "Salvator Rweyemamu" rweyemamu.salvator@gmail.com
Date: Sun, January 2, 2011 11:29 pm
Subject: On Dkt Slaa na Madai yake dhidi ya Mheshimiwa Rais Kikwete kuhusu Dowans
Mwaka huu, Dkt Slaa aliwania urais wa Tanzania kupitia CHADEMA na akashindwa vibaya sana.