Iko wapi taarifa ya Faru John inayofanyiwa uchunguzi na Waziri Mkuu?

moniccca

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
2,383
3,285
Wakuu habari za jioni?

Poleni pia na misukosuko ya lisinema la madawa ya kurevya kama lilivyo tufikie kutoka kwa Makonda. Nisipoteze muda na hayo.

Lengo langu nikutaka kujua taarifa au ripoti ya uchunguzi kama ambavyo Muh. Waziri Mkuu alivyo tuahidi kupata taarifa Mara baada ya uchunguzi kukamilika.

Naamini tume imemaliza kazi, sisi kama ni wadau wa rasmali za taifa tuomba kujua kuhusu hiyo ripoti.

Muh. Waziri Mkuu kila nikisikia neno Maghembe namkumbuka Faru John

Tunaombwa kujuzwa kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom