Iko wapi ndege ya Rais iliyotulisha nyasi za Mramba?

Hiyo Dreamliner wanasema gharama ya wese si kawaida na hiyo je kwasaa 20 ilikuwaje hapo.. !
Ni ndege ya kisasa ambayo hulazimiki kutua mahali kwa safari ndefu, ngoja wataalumu waje watusaidie kuhusu matumizi ya mafuta
 
Iwapo Angeenda na ndege yake BAVICHA mngekuja hapa kuanzisha uzi wenye kichwa cha habari ' Kwanini raisi atumie ndege yake wakati ATCL inafanya safari zake kwenda Joberg' na ungekuja na fake calculation za gharama za kutumia ATCL vis a vis ndege ya raisi na ungekuja na conclusion kwamba raisi anamatumizi mabaya ya rasilimali. Tumeahawashtukia na siasa zenu za matukio..hatuwapi kiki.
 
Kwani ameenda kwenye ndege moja na abilia wengine au serikali imekodi ndege ya ATCL and so kaitumia Kama private jet
 
Iwapo Angeenda na ndege yake BAVICHA mngekuja hapa kuanzisha uzi wenye kichwa cha habari ' Kwanini raisi atumie ndege yake wakati ATCL inafanya safari zake kwenda Joberg' na ungekuja na fake calculation za gharama za kutumia ATCL vis a vis ndege ya raisi na ungekuja na conclusion kwamba raisi anamatumizi mabaya ya rasilimali. Tumeahawashtukia na siasa zenu za matukio..hatuwapi kiki.
Hiyo mimba ukifungua salama huyo mtoto mpe jina BAVICHA
 
Usikute wamepanda watu 50 tu humo
Ile ndege ya rais iliyonunuliwa wakati wa awamu ya tatu ya uongozi wa Benjamin Mkapa iliyoleta ubishani mkubwa hadi waziri wa fedha wakati huo Basil Mramba akasema watanzania wako tayari kula hata nyasi ili ndege inunuliwe na kisha ikanynuliwa iko wapi? Je inafanya kazi?

Nauliza hivi maana nilitegemea safari za rais Magufuli nje ya nchi na baadhi ya sehemu ndani ya nchi angetumia ndege hii ambayo ni maalumu kwa safari za rais lakini sasa tunaona anatumia ndege za ATCL.
 
Insane
Iwapo Angeenda na ndege yake BAVICHA mngekuja hapa kuanzisha uzi wenye kichwa cha habari ' Kwanini raisi atumie ndege yake wakati ATCL inafanya safari zake kwenda Joberg' na ungekuja na fake calculation za gharama za kutumia ATCL vis a vis ndege ya raisi na ungekuja na conclusion kwamba raisi anamatumizi mabaya ya rasilimali. Tumeahawashtukia na siasa zenu za matukio..hatuwapi kiki.
 
Comment zoooote bado hamna jibu! NDEGE YA RAISI TULIO AMUA KULA NYASI ILI INUNUKIWE NA IKANUNUKIWA IPO WAPI!!!!?
 
Ni hivi msukuma aliona iko kindege ni kidogo sana janunua jubwa ndilo linafaa kwa safari zako. Kike kidogo kaachia atcl
 
Ile ndege ya rais iliyonunuliwa wakati wa awamu ya tatu ya uongozi wa Benjamin Mkapa iliyoleta ubishani mkubwa hadi waziri wa fedha wakati huo Basil Mramba akasema watanzania wako tayari kula hata nyasi ili ndege inunuliwe na kisha ikanynuliwa iko wapi? Je inafanya kazi?

Nauliza hivi maana nilitegemea safari za rais Magufuli nje ya nchi na baadhi ya sehemu ndani ya nchi angetumia ndege hii ambayo ni maalumu kwa safari za rais lakini sasa tunaona anatumia ndege za ATCL.

Siyo lazima kila Kitu uwe unakijua Wewe kama Mtanzania kwani mambo mengine huwa yapo ndani ya Wewe Mtu wa Kawaida tu Kufahamishwa. Kama mnapenda Kuhoji Vitu mbona huwa hamuhoji mambo ya Kijeshi au Kuulizia Vifaru fulani vipo wapi au vimeenda wapi? Jikiteni katika Kujenga nchi na Kupambana kwa ajili ya Familia zenu.
 
Back
Top Bottom