Iko wapi ndege ya Rais iliyotulisha nyasi za Mramba?

Mzigo huo mara nyingi mama samia ndio anautumia
Screenshot_20180711-215452.jpg
 
View attachment 807509 Kwa wanaofahamu, utendaji wake wa kazi ukoje kwa sasa?
Maana nakumbuka kipindi kile aliyekuwa waziri wa nini sijui, Basil Mramba, alidiriki kusema akiwa 'sober' kabisa; " Hata ikibidi waTanzania mle nyasi, ndege ya rais ni lazima inunuliwe".
Ipo nzima ya afya. Rais sio mtembezi ndio maana huioni hewani.
 
Ile ndege ya rais iliyonunuliwa wakati wa awamu ya tatu ya uongozi wa Benjamin Mkapa iliyoleta ubishani mkubwa hadi waziri wa fedha wakati huo Basil Mramba akasema watanzania wako tayari kula hata nyasi ili ndege inunuliwe na kisha ikanynuliwa iko wapi? Je inafanya kazi?

Nauliza hivi maana nilitegemea safari za rais Magufuli nje ya nchi na baadhi ya sehemu ndani ya nchi angetumia ndege hii ambayo ni maalumu kwa safari za rais lakini sasa tunaona anatumia ndege za ATCL.
 
Back
Top Bottom