Punguza mahaba ya kipuuzi, jaribu kujenga hoja.
Je hao uliowataja ni wagombea wa urais.?
Hapa hatuongelei ccm, bali Chadema kama chama kikuu cha upinzani kilichojinasibu kupambana na ufisadi matokeo yake kimekuwa chama cha kutetea mafisadi.!
Soma kwa umakini, wapi nimetetea ccm?Mabadiliko kwanza hizo nyingine ni ngojera ambazo zimepitwa na wakati. 54 YRS. Siwapendi MAGAMBA from the bottom of my heart. MAJUHA WANAO TETEA SERA ZAO ZA ULAJI aka Mkono uende kinywani. We mama sijui kaka, I'm sorry uko kazini? Unatumika? Mmeshanunuliwa? Uko kikazi I'M SORRY. THIS IS WHAT WE NEEDEDTHE MOST. MABADILIKO KWANZA. MENGINE MUULIZE NI KIKWETE. a.k.a MKULU.
Tatizo la watu wengi mnafanya siasa za nadharia za kukremu,kama darasani. Siasa ni vita(politics is an art of war). Lazima utumie war tactics. Huwezi kutumia tacticts zile zile utegemee matokeo tofauti. Mfano ukiweza kumkamata Jenerali wa jeshi pinzani haumui hahapo kwa kuwa una hasira kuwa hilo jeshi pinzani limefyeka vikosi vyako vingi. Unachofanya ni kumchukuwa na kumpeleka base na kumtumia ili ujuwe adui yako kajipangaje. Ikiwezekana una bashasha za yeye kuishi hai na familia yake katika nchi yako in exchange of crucial war winning information. Wengi humu tunaandika lakini wachache sana wamejaribu mihemuko hiyo into a political tool of change-namaanisha kugombea hata ujumbe wa nyumba kumi. Kama yupo achooshe kidole. Do your chess homework guys itakusaidia kuvunja(cypher) hiyo code ya CHADEMA kumchukuwa LOWASSA. Siasa za kukremu nazo shiida kwekweli Tanzania
Soma kwa umakini, wapi nimetetea ccm?
Mimi sio wala sijawai kuwa CCM na sidhani kama nitakuja kuwa sehemu ya ccm.
Ila naamini katika misingi ya Chadema, kukemea ufisadi hadharani na kwa nguvu zote.
Maana tatizo la nchi hii ni ufisadi kitu ambacho ni dhambi kwa chadema kuongea hadharani.
kwa hiyo ccm wangeweza kuondoa ufisadi basi chadema kingekufa basi kwa sababu watakuwa hawana ajenda. Ufisadi ni matokeo ya chanzo kiingine sio mzizi wenyewe. Kuna kiyu kinachosababisha huo ufisadi uwepo. Hicho ndicho cha kushughulika nacho. Ufisadi ni matikeo tu.Soma kwa umakini, wapi nimetetea ccm?
Mimi sio wala sijawai kuwa CCM na sidhani kama nitakuja kuwa sehemu ya ccm.
Ila naamini katika misingi ya Chadema, kukemea ufisadi hadharani na kwa nguvu zote.
Maana tatizo la nchi hii ni ufisadi kitu ambacho ni dhambi kwa chadema kuongea hadharani.
huo unaouita msimu unalazimishwa kuwa msimu...mm sometimes nahisi mwenyezi Mungu hakupenda Ukawa tushike nchi safari hii maana EL kuamia Ukawa ni unbelievable,..sahivi tusinge kuwa navizingiti hivi....
Ipo wapi ccm ile. Iliyojinasibu kuvua gamba. Ipo wapi ccm ile ya mangula iliyojitanabaisha kuwafuta uongozi wale wrote waloshinda kwa rushwa.
HAPANA... ngoja tuiweke hivi hoja yako: Labda asipite otherwise, hakuna wa kumvua rais uanachama! Ikiwa walishindwa kumvua uanachama Shibuda kwa ajili ya nafasi yake ya ubunge, seuze rais!!!Humfahamu vyema naona. Thubuutuuu. Hakuna atakawmvua uanachama maishaaaa. Mshakula ndoana hamna ujanja tena
Chadema wanasema tatizo si mtu bali ni mfumo,lakini mfumo ni watu,mbowe kauza chama hajakanusha na lowassa hajakanusha kuuziwa demokrasia ndani ya cdm,ikiwa chama ni taasisi ya wananchi aliyeuza hiyo taasisi SIO FISADI? CHADEMA NI CHAMA CHA DEALS NA MAFISADI. KAMA WEWE NI CDM JIBU SWALI HAPO JUU.PUMBAVU NA LOFA WEWE!!!!
Usijaribu kuonyesha hisia zako mbele ya wenzetu Usishangae wakikuita wewe ni gamba.
Ukweli ndio huo Chadema imehama mstari, makamanda ni kama wamekata tamaa kila mtu anawaza mstakabali wake sio wa chama tena.!
Siioni kabisa, ile Chadema iliyoenda kupiga kambi Kanda ya pwani zaidi ya wiki moja.
Ile Chadema iliyosambaa Kanda zote kuelemisha Wananchi kuhusu Ufisadi na maovu ya ccm kwa ujumla.
Ile ya Lema, Mnyika, Mdee, kwa upande mmoja Sugu,Silinde,Msigwa kwa upande mwingine. Lissu, wenje na wengineo.
Ile ya viongozi wenye upeo toka makao makuu,Pr.Safari, Pr.Baregu na wengineo.
Ile ya vijana makamanda tofauti toka idara tofauti makao makuu.
Kweli leo Chadema ni ya kupelekwa ikulu na akina Sumaye, Masha, Msindayi na Mahanga?
Wako wapi makamanda wa ukweli tuliowazoea wananchi, waliokipaginia chama kwenye jua na mvua usiku na mchana.?
Najua mtasema wengi wapo bize na kampeni kwenye majimbo yao.
Lakini binafsi naamini Lema, Lissu alieashinda asilimia tisini ya serikali Za mitaa, Silinde ambae wananchi wake wanaimba Chadema hadi usingizini, Sugu ambaye ni Rahisi wa Mbeya, Mdee mwanamke shujaa wa siasa za upinzani Tanzania na wengineo.
Hawawezi kushindwa kupoteza siku mbili kwenye majimbo yao na kumnadi Lowassa kwenye mbio za urais.
Poleni makamanda najua wengi wenu mnamadukuduku mioyoni mwenu ila ni ngumu kusema kwa kuogopa kuitwa wasaliti.
Kwa hatua ilipofikia Chadema, kilikuwa sio chama cha kutegemea Sumaye awapeleke ikulu wala Masha wala Msindayi hata Lowassa Mwenyewe.!
Bado naililia Chadema yangu ya ukweli na mtetezi halisi wa watanzania sio hawa wasaka madaraka tu.!
Tukutane October 25
Kesho Lowasa akimteua Makongoro Mahanga na wana CCM kuwapa ubunge viti maalum na kisha kuwateua kuwa mawaziri ndio watu wa aina hii tuliwataka ..... Hivi kuna mtu hapa anaweza kunijibu nini kinamfanya aamini Lowasa atasimamia kile tulichoamini muda mrefu?
Usiwe na akili za Nyumbu kiasi hicho na usiwe mvivu wa kusoma, unaweza kurejea post zangu toka najiunga jf na hakuna hata moja iliyofutwa ukaangalia msimamo wangu ni upi toka awali.
Huu ujinga wa kudhani kila anaempinga Lowassa ni ccm ndio utawapoteza zaidi.
idwa tutakutana oktoba 25 sisi wapumbavu na malofa katika ubora wetu na wewe mamluki unayojidai kuililia chadema ili kuitoa nje ya reli wakati inakaribia kuhitimisha safari ya mabadiliko. wapumbavu na malofa katika ubora wetu tumekwisha amua kura kwa Lowassa na wabunge wa UKAWA