Iko wapi CHADEMA jeuri ya Dr.Slaa iko wapi BAVICHA tukutu ya John Heche

Lobapula

JF-Expert Member
Jun 19, 2011
2,388
1,582
Dr Slaa atakumbukwa kama katibu mkuu aliyewahi kuongoza CHJADEMA kwa mafanikio mbali mbali chini ya katibu mkuu Dr Slaa tuliona CHADEMA ikipata mafanikio makubwa kwa kuongeza wabunge wengii na madiwani wengi na yote haya yalifanikiwa sababu katribu mkuu ndio mtendaji mkuu wa chama na injinii ya chama.

MAANDAMANO

Chini ya Dr Slaa tuliona tuliona akiongoza maandamano tofautii katika mikoa mbalimbali ya nchi sababu ya ujasil wake na kupigania anachokiiamini mfano tunaweza kuona maandamano yaliyofanyika jijini Mwanza 26 September 2014 Dr Slaa alikuwepo pale kuwapa nguvu vijana wake na kuhakikisha wanatiimiza lengo lao kwa mujibu wa sheria hakua muoga hata kidogo

Chini ya Dr Slaa tumeona maandamano yaliyofanyika Arusha 4 January 2011 kupinga uchaguzii wa Meya maandamano kama haya tunaona Dr Slaa alikua mstar wa mbele kama mtendaji mkuu kuhamasisha makamanda wake yeye kama kiongozi hakurudi nyuma na ujumbe uliwafikia watanzania wengi na katika yote haya hakuogopa mabomu wala vitisho vya polisi.

OPERATION
Chini ya uongozi wa Dr slaa tuliona CHADEMA ikija na operation mbalimbali ndani ya chama ambazo ziiliweza kuvutia wanachama wengi kujiunga na chama na pia kuelewa malengo na dhamira ya dhati ya chama opoeration kama Sangara,Chadema ni Msingi,m4C nk operation kama hizi zote zilianzishwa chini ya Dr slaa zlisaidia sana kusambaza chama mpaka vijijin hivyo chama kikawa na wafuasi wengi na kukubalika kwa wanachama hapa tunaona Dr Slaa alikua mbunifu na kiongozi anayebadilika kutokana na wakati.

NINI KIMETOKEA?
B
aada ya Dr Slaa kubwaga manyanga alipewa jukumu hiko zito Dr Mashinji ili kuongoza chama hapa alikuja na operation UKUTA operation hii hakufanikiwa maana ilikua na lengo la kupambana na u dikteta uchwara hapa mashinji alishindwa kuongfoza majemedali wake kupigania kile anachokiamin na hivyo operation hii ikafa kibudu na kifo cha mende na baada ya hilop hakuja na njia mbadalka wa kufikisha ujumbe kwa watanzania na watawala badala yake alisalim amri na kurudi ofisin kufanya paper work hata majemedari kama kina John John Mnyika wameamua kuwa kimya,kina kamanda Lema baada ya Kisongo wameamua kufanya siasa pozo sababu hawana back up ya kiongozi wao mkuu.
Hapa tunaona ile spirit ya maandamano hakuna tena wala operation hakuna tena tofauti na CHADEMA chini ya Dr Slaa na mfano mzuri ni pale Wafuasi wa CHADEMA waliopozuiwa kufanya maombi kwa ajiri Lissu uwanjani hakukuwa na vijana au wanachama wanaofikia hata 20 hii ni mbaya kwa mstakabali wa chama

BAVICHA YA HECHE VS BAVICHA YA PATROBAS
Bavicha chini ya Heche tunaona ilivyokua moto moto na vijana waliokuwa machachali katika ujenzi wa hoja na kupigania chama kipindi cha era za bavicha ya Heche ndio walikuwepo vijana machachali akina David Kafulila,Juliana Shonza,Kashinje Masanja,Chagulani,Nyakarungu,Habib Mchange akina Manawa Bukwimba,Mtela mwampamba aina hii ya vijana ndani ya BAVICHA ya Heche ilikua tishio mpaka serkali ya CCM kuamua kununua baadhi ya vijana kwa ahadi ya pesa na uongozi sababu tu ya uwezo wao wa kujenga hoja na ushawishii katka jamii vijana kama kiina Shonza na Mtela walinunuliwa na CCM sababu ya utukutu wao wa kujenga hoja,kuhoji na kutikisa serikali Shonza sasa hv ni mbunge viti maalum na Mtela ni DAS
Ukitizama hapo juu aina ya BAVICHA ya Heche ukaja kuona BAVICHA ya Patrobas imeshindwa kabisa kutoa vijana ambao ni jeur na tukutu wanaoweza kujenga hoja na kuyumbisha serikali BAVICHA inafanya siasa pozo na zisizo na malengo mfano waliposema wanaenda kuzuia mkutano mkuu wa CCM Dodoma ambao Magufur alipewa uenyekiti hakuna impact yeyote iliyooneka kwa harakati zao hizo.

Tunamuombea AFYA NJEAMA mpiganaji Tundu Mungwai Antipasi Lissu huyu ni mpiganaji wa kweli na vijana wengi wanatamani kuwa kama yeyey lakini hawataweza sababu wamejawa na uoga,unafiki wanajazana kwenye comment JF lkn wakihitajika kusonga front kama alivyo Lissu hauta ona hata mmoja hapa ndio unapata taswira ya vijana halisi tulio nao katika chama

Pia hapo jana walitangaza maombi kwa ajiri ya Lissu na polisi wakazuia hatukuona kiongozi yeyote wa BAVICHA akiiwa uwanjani na hata vijana wakiwa uwanjani kuonyesha wana nia ya dhati katika lengo lao hilo la kufanya maombi hapa tunaona BAVICHA imekwama ki mkakati na hata vijana wengi wa BAVICHA wanapambana kwenye social media kama Jamii Forum kwa ID fake lakini kwenye ujenzi wa Chama na wanapohitajika kwa chama kujitokeza kama hapo jana hawaonekani wako busy kwenye mitandano ya kijamii wakificha sura zao nyuma ya vioo vya simu zao. Ujenzi na ukombozi wa NCHI hii unahitajika kujitokeza na kuonekana ukifanya vitu kwa vitendo na sio kwa ku comments na ku like vijana na wana CHADEMA badiliken

Tunahitaji CHADEMA jeuri kama ya Dr.Slaa na BAVICHA tukutu kama ya John Heche
 
Attachments

  • slaa 1.jpg
    slaa 1.jpg
    19.3 KB · Views: 57
  • slaa.jpg
    slaa.jpg
    51.4 KB · Views: 59
  • MRS.DR.SLAA.jpg
    MRS.DR.SLAA.jpg
    11.3 KB · Views: 54

Hakuna hata haja ya maandamano,tmeweka tu Tshirt za Pray4Lissu wamekuja Policcm waote wa Darisalama ati wanazisaka kokote zilipo zikalale lockup.

Maandamano si wengine watakufa huko Magogoni.
 
Evil isn’t the real threat to the world. Stupid is just as destructive as Evil, maybe more so, and it’s a hell of a lot more common. What we really need is a crusade against Stupid. That might actually make a difference

baada ya kuona kuona polisi wote wamekuja wa dar mkakimbilia jamii forum? huku ndio mnamuombnea Lissu?
 
Mkuu enzi za Dr. Slaa hata ccm ilikuwa inajitahidi kupambana kwa hoja na mikutano ya siasa ilikuwa inaruhusiwa. Sasa hivi hata maombi kwa mgonjwa hairuhusiwi. Kwa hali hii ili uweze kuendesha siasa kama za enzi ya Dr. Slaa inabidi ubebe smg ya kujihami. Sasa katika mazingira hayo itakuwa ni siasa? Kwa kifupi enzi za Dr. Slaa kulikuwa na rais anayejua demokrasia kwa vitendo, na sasa kuna rais asiyejua siasa wala demokrasia na hayuko tayari udhaifu wake uwe wazi.
 
baada ya kuona kuona polisi wote wamekuja wa dar mkakimbilia jamii forum? huku ndio mnamuombnea Lissu?

Lissu anaombewa kila dakika iendeayo kwa Mungu.

Kiboko ya CCM na Serikali yake ni Tshirt Pray4Lissu.Hata wewe haya maneno ukiyaona unapata uchizi.

Ukitaka kujua nguvu ya Chadema check front page ya 'The Citizen'
 
UKUTA ni zaidi ya maandamano. Pia, kuna sababu gani ya kumwaga damu wakati unaona kabisa upande wa pili wamedhamiria kufanya hivyo??
 
Lissu anaombewa kila dakika iendeayo kwa Mungu.

Kiboko ya CCM na Serikali yake ni Tshirt Pray4Lissu.Hata wewe haya maneno ukiyaona unapata uchizi.

Ukitaka kujua nguvu ya Chadema check front page ya 'The Citizen'
DAH KWELI MASHINJI ANAKAZI
 
Zama zimebadilika ndugu yangu,upigaji wa zama zile sio sawa na wa zama hizi.
Wanasiasa wote wamegwaya,si wa CCM,wala wa upinzani.........Hivi mh.Msukuma kapata dhamana jana?
Hahahaaa sasa tusubiliie kama mabadiliko tutayapatia mezan
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom