Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Ilikuwa ni polojo tu mkuu..kama vp funga mkandaTuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?
Tafuta Jembe cement ni cement nzuri sana na bei yake kila mtanzania ana mudu ni shilingi 8,500 Tsh.Tuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tafuta Jembe cement ni cement nzuri sana na bei yake kila mtanzania ana mudu ni shilingi 8,500 Tsh.
Sijawahi hata kuisikia hii[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Was an invitation to treatTuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?