Ikizidi inakeraaaaaaaa

Ikizidi inakeraaaaaaaa

wanawake wengi wanajiuza,sema tu hawajipangi pale buguruni

ahsante kwa kunikumbusha kuwa mamayako,
dada zako,
shangazi zako,
bibi zako,
mama zako wadongo,
mama zako wakubwa
demu wako/mke wako
mama mkwe wako
shemeji zako
kuwa wote wanajiuza
 
MADEMU wengi wao wa USWAHILINI hizo ndio Kasumba zao, Wanataka Mkishamaliza Game tuu, Umtoe Mshiko lakini MADEMU WETU WA USHUANI wala Tena unaweza ukashangaa Unawekea CHENJI MAITI(U$100) kwa JEANS Unaenda kuikuta Mbele, wanakutxt Take it Easy, Hayo Ndio Maisha, Kama Ni mwanamke wa Kuombaomba Hela Sitaki Kabisa hao kwanza wanatia NUKSI kweli

swala si kumaliza game ndo unipe hela
unajua maana ya kumtunza na kumjali mwanamke wewe??
Kwa taarifa yako hakuna mwanamke anayependa baada ya game apewe hela ila ikitokea unapokea
swala ni kuwa unamjali vip?hizo hela unampaje?ina maana we ukiwa na hela humpi koloni lako?
Jamani halafu mkigongewa na watu wanaotoa hela mnaleta midomo
mnakuja hapa kulalamika
 
Relationship nyingi za siku hizi 90% maslahi na 10% mapenzi
 
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.

Nimekupenda bureee aisee...,a kweli wabadilike aisee wanakimbia sana majukumu yao wanaume ndo maana wanawake wengi wanakua na njia nyingi...yaan siku hizi ni wachache mno wanaojua majukumu yao kikamilifuuuu...
 
To me naona kama mnapendana sioni sababu ya kupewa pesa as utakuwa unaenjoy mahusiano (labda akupe kwa hiar sio kudai dai kila saa).

Hiyo ya kutaka kupewa kisa mme do hailipi kabisaaa kwani umemwuzia?? By the way.. Utu wako ni wa thamani sana hauwezi kufananishwa na fedha.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Smile ndugu yangu wewe bado sanaaaaaa! Hii mijambawazi usipoiwezea kuitight by the balls hupati kitu kabisaaaaa! Dawa yao ni kugrab them by the balls and grab them tightly tena sio kwa mikono kwa SPANA au PRISE kabisaaaa!

Dear hawa viumbe hawana jemaaaa! omba hela usiombe haibadilishi view yake juu yako! Wewe jibanee ndo kwanza anafurahi demu jinga kabisaaa yule, simhudumii hata mia na namgegeda kila nikijiskia!!!!! Afu ukiwa unampa bure shosti hakuachii hata akikuchoka aje! Cha bure kitamu atiiiii! Atakuplay mpaka siku anaoa!!!!

Ila demu Kubwa la Maadui zinga la bili ya expenses, akikuchoka kidogo tu lazima akupe redundacy! Wanaume kutokutulia ni tabia tuuuu! Mwengine wewe unampa hela anaenda kuhonga! Upo hapo?

Kuchukua hela simuuzii ila ananitunza koz alinikuta nangaa kwa kutunzwa na wenzie! Habari ndo hiyo!

Sasa wewe jifanye Mama Teresa uone habari yako!

Haha hahahaaa a...but lara1 hapa unatudanganya bana..m uwiii iiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom