Ikizidi inakeraaaaaaaa

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Messages
1,951
Points
2,000

PetCash

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2012
1,951 2,000
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
So,
Enlighten me dear lady...Ni utamaduni gani wa muafrika unatambua uwepo wa galfriend?
Na tena ni utamaduni gani wa muafrika unasema mchumba hupewa hela ya matumizi ya kidude chake au 'uchakavu' as u said?
utamaduni wa muafrka hausapoti ngono hivyo mada ingekua a housewife ambaye hapewi matumizi...hapo wanaume ndo tungekubali hizo lawama.
Mi ushauri wangu legeza vigezo na masharti uolewe uache ufuska!
 
Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Messages
2,519
Points
2,000

Bazazi

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2008
2,519 2,000
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
Ukitumika lazima naye akuhudumiye; Huuo ndio uanauke halisi.

Bazazi!
 
lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
Pole shostiii! Ndo ujifunze kuwa na kismati cha kugonga migodi! Inatakiwa ukigusa tu mgodi! Hawa pasua vichwa mimi nao stori tu kula wakale kwa mademu wao wa uswaziii au wowote wale wasiojua hazina waliyonayo!

Unigegede bureeeeee! Thubutuuuuuuu!

Tusemage ukweli tu mwanaume asiekupa pesa ni mzigooooo tena wa miiiba haubebeki!
 
Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
15,407
Points
1,250

Smile

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
15,407 1,250

kama unagegedwa kwa malipo basi hapo kigegedo chako unakiuza ama sielewi!
kusaidiana kupo ila sio kisa umegegedwa ndo upewe hela.usiogope shida kiiivo! mimi kuna siku nilitoka na mpenziwangu akaniacha mwenge nilikuwa sina nauli nilikuwa na plan niingie atm pale kumbe wallet niliokuwa nayo nilichange so haiikuwa na card wala sikumpigia wala nini hata niwe na shida ya kufa sitokaa niombe hela ya mtu niliacha zamani hiyo tabia

kama hawezi kunipa mwenyewe basi ,ni kweli hela ya mwanaume ni tamu lakini sio lazima kwenye mahusiano! kwanza wanaume wanaototoa hela hawajatulia wanafanya hela ni defence mechanism yao !
 
Nambukwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2009
Messages
243
Points
195

Nambukwa

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2009
243 195
Pole shostiii! Ndo ujifunze kuwa na kismati cha kugonga migodi! Inatakiwa ukigusa tu mgodi! Hawa pasua vichwa mimi nao stori tu kula wakale kwa mademu wao wa uswaziii au wowote wale wasiojua hazina waliyonayo!

Unigegede bureeeeee! Thubutuuuuuuu!

Tusemage ukweli tu mwanaume asiekupa pesa ni mzigooooo tena wa miiiba haubebeki!
asante sana lara 1 maana leo hii mijanaume imeguswa wallet zao wanapiga makelele. Mbona zile post za Natalia mnakuja mbio na kushabikia?? Leo hela mnarukaaaa futi mia!
Heshima hela shikamooo kelele tu.
 
bibi.com

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Messages
1,154
Points
1,225

bibi.com

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2011
1,154 1,225
hivi ule usawa wa jinsia umeenda wapi!? nyie si mnataka usawa!? mimi nategemea katika usawa huo muwe mnatutoa na sisi!
wanachopigania wanawake ni haki sawa haki ya elimi, malazi, chakula, ajira na etc. na si unavyofikiria kama ni usawa unaofikiria wewe si mngeambiwa mzae lakini si huo wanachotaka ni haki
 
lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
kama unagegedwa kwa malipo basi hapo kigegedo chako unakiuza ama sielewi!
kusaidiana kupo ila sio kisa umegegedwa ndo upewe hela.usiogope shida kiiivo! mimi kuna siku nilitoka na mpenziwangu akaniacha mwenge nilikuwa sina nauli nilikuwa na plan niingie atm pale kumbe wallet niliokuwa nayo nilichange so haiikuwa na card wala sikumpigia wala nini hata niwe na shida ya kufa sitokaa niombe hela ya mtu niliacha zamani hiyo tabia

kama hawezi kunipa mwenyewe basi ,ni kweli hela ya mwanaume ni tamu lakini sio lazima kwenye mahusiano! kwanza wanaume wanaototoa hela hawajatulia wanafanya hela ni defence mechanism yao !
Smile ndugu yangu wewe bado sanaaaaaa! Hii mijambawazi usipoiwezea kuitight by the balls hupati kitu kabisaaaaa! Dawa yao ni kugrab them by the balls and grab them tightly tena sio kwa mikono kwa SPANA au PRISE kabisaaaa!

Dear hawa viumbe hawana jemaaaa! omba hela usiombe haibadilishi view yake juu yako! Wewe jibanee ndo kwanza anafurahi demu jinga kabisaaa yule, simhudumii hata mia na namgegeda kila nikijiskia!!!!! Afu ukiwa unampa bure shosti hakuachii hata akikuchoka aje! Cha bure kitamu atiiiii! Atakuplay mpaka siku anaoa!!!!

Ila demu Kubwa la Maadui zinga la bili ya expenses, akikuchoka kidogo tu lazima akupe redundacy! Wanaume kutokutulia ni tabia tuuuu! Mwengine wewe unampa hela anaenda kuhonga! Upo hapo?

Kuchukua hela simuuzii ila ananitunza koz alinikuta nangaa kwa kutunzwa na wenzie! Habari ndo hiyo!

Sasa wewe jifanye Mama Teresa uone habari yako!
 
mi siombi hela ya mtu nitaishi kwa uwezo wangu nikikosa hela ya kusuka nanyoa,nikikosa kiatu natembea peku akitaka anisaidie tu mwenyewe
WANAUME WENYEWE WA SIKU HIZI WANAPIGA MIZINGA ,UKISALIMIKA KUOMBWA HELA WEWE SHUKURU...TUTABANANA HIVOHIVO
SASA SHOSTI LARA NIKOPESHE LAKI 3 NINA SARE YA HARUSI NATAKA KWENDA KUNUNUA PALE QUALITY KWA AMINA DESIGN JAMANI
 
Forum statistics

Threads 1,343,600
Members 515,110
Posts 32,790,705
Top