Ikizidi inakeraaaaaaaa

Nakadori

Nakadori

Senior Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
146
Points
195
Nakadori

Nakadori

Senior Member
Joined Sep 21, 2011
146 195
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
 
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
6,363
Points
2,000
Mjuni Lwambo

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
6,363 2,000
Mapenzi ya namna hiyo ndio mimi sipendi, mwanamke anakuja kwako ili kupata huduma tu na sio mapenzi, material girls, i dont like it.
 
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Messages
6,242
Points
2,000
Nyalotsi

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2011
6,242 2,000
Mbona mi nachakaa sipati hiyo hela ya kukuongezea protein? Tatizo lenu mnafikiria sex for money, kafanye biashara. Nyambaf!
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
34,614
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
34,614 2,000
Kwani unauza? Ni PM kama unataka ya uchakavu........
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
83,490
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
83,490 2,000
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
Hapa unazungumzia wanawake gani?

Career working women or stay-at-home women?
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
48,876
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
48,876 2,000
Kama ni mke nakubaliana na wewe kweli anastahili kuhudumiwa kwa raha zake, ila hutu tugal friend, ni umiza kichwa tu tunakwangua kila kitu mradi tu kichwani avae nywele za maiti, vidoleni aweke mikucha ya zombie, machoni aweke nyusi kama brashi ya chachandu...atataka aende vijiwe vyote...sasa ole wako kawe ni katoto ka shule utajibebaje
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
8,183
Points
2,000
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
8,183 2,000
hahaha...hapo balaa tupu...so kwa kuwa k inamegwa basi ndio tukusaidie kuiweka in prestine condition? siktai hela ya mwanaume uliwa na mwanamke ila sasa mbona mnakataaga pale kidume akikuomba bupa na kukuhaidi fedha?
na pia ukumbuke mkiwa hivyo basi wanaume tutatumia hela kukugegeda na kusepa...sii umejiweka kibiashara bwana.
 
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Messages
2,696
Points
1,195
Suprise

Suprise

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2012
2,696 1,195
chezeyyya pesa wewe, wadau wanacoment kwa hasira haoooo,
silaha pesa kisu mzigo,tafakarii
 
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Messages
4,276
Points
2,000
uttoh2002

uttoh2002

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2012
4,276 2,000
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
unachosema sawa ila usidai it should come natural
 
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
619
Points
225
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
619 225
hivi ule usawa wa jinsia umeenda wapi!? nyie si mnataka usawa!? mimi nategemea katika usawa huo muwe mnatutoa na sisi!
 
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
3,727
Points
2,000
K

Kimbori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2012
3,727 2,000
Kumbe unatafuta hela! Kweli ngono ni uwekezaji. Ndio maana wasichana wanatimiza miaka mingi hata kuitwa madunga embe, huku wavulana wakihaha kuzisaka bila kupata
Yaani unataka hata girlfriend apewe hela! Kweli naona hutaki kukali uchumi.
 
chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
2,429
Points
2,000
chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
2,429 2,000
Pole sana, mshikaji wako halutoi, nakushauri utafute mwingine
 
C

click

Member
Joined
Feb 9, 2012
Messages
7
Points
0
C

click

Member
Joined Feb 9, 2012
7 0
hayo ndo mambo nisiyotaka mm.eti kwa sab nakugonga ndo nigharamikie.hayo ni mambo ya kurudishana nyuma kimaendeleo.ss atakuwa na tofauti gan na malaya?.km ni kutoa nitoe kwa ridhaa yangu kwa mambo mazuri anayonipa na kunfanyia isiwe ndo utaratibu.km mi mwanaume bahili bas hta ye ni mwanamke bahili mana nae hanipi.
 
chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
2,429
Points
2,000
chardams

chardams

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
2,429 2,000
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
im bout my instrument, im bout my dow
im on my hustle,(man) you already know.
im getting stacks, im hitting lick
im packing pounds, and bagging bricks
you got them @#$%@#$, i gotta laugh
you talking Oz, but selling halfs.
where your connect? how much you got?
thats all he holdin? man i buy him out.

i got the love for money
i i gotta have it, the love for living lavish
gotta get that green paper stacking(love for money)

i i i i gotta have it
i i i i got the love for money
 
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
2,934
Points
2,000
wiseboy

wiseboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
2,934 2,000
huwa najiuliza eti msichana mzur tu bt haolewi! ukienda send off unakuta m2 ana sura ngumu bt kaolewa, u knw y? hawa wanaotanguliza hela wanaogopwa na wavulana kama ukoma, we mleta thread utazeekea kwenu hakya nani.
 
Forum statistics

Threads 1,334,772
Members 512,099
Posts 32,486,481
Top