Ikizidi inakeraaaaaaaa

Ikizidi inakeraaaaaaaa

mapenzi ya namna hiyo ndio mimi sipendi, mwanamke anakuja kwako ili kupata huduma tu na sio mapenzi, material girls, i dont like it.

ambao sio material gals ni uliozaliwa nao tu dada zako na sio wote ukichalala hata nduguzo hawakuthamini ,so prepare to face the challenge hahah
 
kama uko serious unataka kutolewa na mwanamke nipm. Ila uwe tayari kuhimili adha za kutolewa na mwanamke.

naikishaliwa haina alama ukashtaki wapi hahahah pasu pasu nipe nikupe ndio habari ya mujini hiyo
 
hahahahhaa ahaa si unaona wewe mwenyewe una- declare kuwa nyie mkitutoa kunakuwa na adha!? Mbona sisi huwana hatuna shida tunatoa kiroho safi!!?

kwani aliyemuanza mwenzie nani mwenye shida si wewe lazima uliwe tu!
 
hao wanaozungumza usawa wanatoka katika broken relationship(s). Wanawake waliotulia vizuri kwa wanaume zao hilo swali la usawa ni msamiati. Ha ha ha ha ha ha!

hahahahahahahahahahaah usawa akati unakunjwa kunjwa hahahahah hapa swala ni pesa usawa pembeni
 
Hahahah mihangaiko ndugu yangu, mie wangu anajua wajibu wake na anatimiza... Smile amekaa kinyonge ndo mana anaonewa
Ciello shost umepotea naona kazi inakubana au na wako kawa bail ukatembea peku kama Smile hahahah pekuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
hii ndo mitazamo ya kishamba mwanamke kua tegemezi yani wewe kisa mwanaume unae inabidi awe anakuhudumia halafu mkiwa mnakandamizwa mnadai haki sawa..siku izi life taff mwanamke jishughulishe uwe na kipato chako sio unakaa tu kuckilizia jamaa akufanyie vitu..skuiz ubahili mwanzo mwisho yan..
 
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.
Umekopwa wewe!!maana umekaa ukisikilizia jamaa takata mara naye kameza pin!!sasa naona umeona huo ni umaku bora umwage jamvini!!na wanaume kwa siku hizi siyo wabahili pesa hakunaaaaa!!wenye hera wanawake!!ila mimi na nivea mbona hicho kidogo anaridhika nyie mnataka Swift!!haya mnaishia kukopwa watu noma!anakuvuruga anakutoa mswaki na wewe kuomba unaona aibu!!hapo chacha!:bowl::majani7:
 
Last edited by a moderator:
Haya yalikukuta lini, wapi, na kwa nani??
ukiona hivyo mzigo yawezekana haulipi! hahaaah!

mbona povu limekutoka hivi??ushaingia uwanjani Mara hii?pole lakin ndo lyf
 
Last edited by a moderator:
Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe???

he he he...kwani huduma tunapata au tunapatiana??
ka zimekutembelea sana hata wewe unaweza ukanipoza nikale vizuri kesho nkupe tena...lolz!
 
Inaonyesha kabisa wewe Mrembo by Nature ni demu wa VIZINGA au ni Miss Dependant, Mimi huwa Sitongozi WANAKUJA wenyewe, Mimi NYOTA zetu KALI ww , Chezea WA KISHUA nini! Watu kama cc ni MaPHOTOGENIC by Default..kip in ur Mind. Ndio Maana mm huwa cpend kuDATE na watoto wa USWAZI kwa ajili ya mambo hayo,. Hakuna Raha Kama kuDATE na WATOTO WAKISHUA Wenzangu, Unafika Kwa Demu, Unapack Gari pembeni Hushuki Unakula kiyoyozi mtoto anakwambia NAOGA unakula mufundi kwenye MKEBE mtoto anamaliza anajipodoa ndio anatoka kwnye CRIB au CONDO anakufata Ndani ya Gari Story zinapigwa bdae mtoto anarudi ndani alafu poa tuu,..hahahhahahhaa
 
Polesana akuna mapenzi ya pesa sikuhizi zaidi utasa babisha umengwe na kuacha njiapanda bila kujua jamaa anarudi au ndiyo kasepa
 
Back
Top Bottom