Ikizidi inakeraaaaaaaa

hahaha...hapo balaa tupu...so kwa kuwa k inamegwa basi ndio tukusaidie kuiweka in prestine condition? siktai hela ya mwanaume uliwa na mwanamke ila sasa mbona mnakataaga pale kidume akikuomba bupa na kukuhaidi fedha?
na pia ukumbuke mkiwa hivyo basi wanaume tutatumia hela kukugegeda na kusepa...sii umejiweka kibiashara bwana.

Nini!!! ahadi!!! ukimdhulumu akashtaki wapi?
 
hivi ule usawa wa jinsia umeenda wapi!? nyie si mnataka usawa!? mimi nategemea katika usawa huo muwe mnatutoa na sisi!
Kama uko serious unataka kutolewa na mwanamke niPM. Ila uwe tayari kuhimili adha za kutolewa na mwanamke.
 
Mhh !! pesa ya uchakavu kwani limekua gari hilo ???
Huku tuendako tusipokuwa makini tutakuja ambiwa hela ya VATI !!
 
Kama uko serious unataka kutolewa na mwanamke niPM. Ila uwe tayari kuhimili adha za kutolewa na mwanamke.
hahahahhaa ahaa si unaona wewe mwenyewe una- declare kuwa nyie mkitutoa kunakuwa na adha!? Mbona sisi huwana hatuna shida tunatoa kiroho safi!!?
 
Pole shostiii! Ndo ujifunze kuwa na kismati cha kugonga migodi! Inatakiwa ukigusa tu mgodi! Hawa pasua vichwa mimi nao stori tu kula wakale kwa mademu wao wa uswaziii au wowote wale wasiojua hazina waliyonayo!

Unigegede bureeeeee! Thubutuuuuuuu!

Tusemage ukweli tu mwanaume asiekupa pesa ni mzigooooo tena wa miiiba haubebeki!

Naunga mkono hoja, na wanaofiki waseme ndio...

Ndiooooooooooo!!!!
 
hapa ndipo wadada mnaponishangaza, una kazi yako nzuri na inalipa lakini unadhani kwa vile unanipa K then unastahili 1/2 ya my paycheck. unasahau wanaume tunahitaji kulipia nyumba/umeme/ada/chakula nk wakati nyie mnasubiri kutoa mzigo usiku. there is more to my life than K yako, tuwe reasonable. ukitaka kuwa high maintenance then you'll be a bridesmaid but never the bride
 
hahahahhaa ahaa si unaona wewe mwenyewe una- declare kuwa nyie mkitutoa kunakuwa na adha!? Mbona sisi huwana hatuna shida tunatoa kiroho safi!!?

hamna shida coz its nature jamani, mutowe tu kwa raha zenu,
 
Wewe utakuwa muuzaji wa kisirisiri ndo maana unategemea malipo kila baada ya X but kama kuna real love hakunaga mapungufu kama hayo
 
Hakika kila mtu na lake, jamani mapenzi ni upendo ni zaidi ya pesa hivi ukiumwa uko hospital utamjali yupi aliyetupa pesa ya asprin au yule anakaa na wewe kukuuguza??. Naona umeongea kwa uchungu vile hiyo ni wachache maana hata akina dada wanaopewa matunzo na hiyo wewe unavitaka na wakakataa kutoa tundi wapo jamani. mbona wanaume hawalalamiki eti ila kwa mwanaume anapotoa huwa amejiandaa kupata au kukosa.
 
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.

Kama biashara tuelewane bei mapemaaa, sitaki ulalamishi baada ya kuchoka
 
hahhahahahaha nature ndo hivyo, basi hata usawa wa kijinsia hakuna coz of nature

usimisinterpret nature bana, ladies is first co kwenye majanga huchelewi kuvamiwa na majambazi ucku ukamwambia mkeo lady is first akafungue mlango, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,I love nature with its exception
 
Hahahaha eti heshma hela shkamoo makelele,wanaume wakiguswa kwenye hela wataongea yoooote hadi mapovu kuwatoka!jiwe alirusha gizani wewe limekupataje?????
 
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.

Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????

Badilikeni wanaume,.

uchakavu kwa wanawake tu ama? si bora nitafute malaya nijue nimenunua ngono direct, kama kupewa kifuta jasho mwanaume ndo natakiwa kupewa, we bao nne tano unadhani mchezo, najitahidi usilalamike hujafikishwa, bado na unataka na hela, hata hamsini yangu,

mwanaume hasifiwi kwa matumizi mabaya, wanawake wanataka usawa gani sasa? mwanaume afanye majukumu yake, na mwanamke. a play part yake
 
Mtakoroma sana ila ukweli nshausema,mpunguze ubahili wanaume,**** siku hizi inaungwa mjue hivyo!so mchangie viungo. Unakojoa tu unaondoka kwani shimo Hilo?mmepashwa mpashike heshima muweke
 
MADEMU wengi wao wa USWAHILINI hizo ndio Kasumba zao, Wanataka Mkishamaliza Game tuu, Umtoe Mshiko lakini MADEMU WETU WA USHUANI wala Tena unaweza ukashangaa Unawekea CHENJI MAITI(U$100) kwa JEANS Unaenda kuikuta Mbele, wanakutxt Take it Easy, Hayo Ndio Maisha, Kama Ni mwanamke wa Kuombaomba Hela Sitaki Kabisa hao kwanza wanatia NUKSI kweli
 
Ndo maana kila siku wanakuacha na kwenda kwa migodi Yao,wanawake sasa hivi hakuna asiependa hela,atajikausha tu kwako moyoni ukweli anaujua
 
Back
Top Bottom