Ikiwa Rginald Mengi atagombea Urais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ikiwa Rginald Mengi atagombea Urais

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzamifu, Jul 23, 2012.

 1. mzamifu

  mzamifu JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 3,192
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hali ya siasa inaweza kutabiriwa vipi ikiwa Mengi ataamua kugombea urais na akapitishwa na CCM kama mgombea wake 2015?
   
 2. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mengi ni MwanaCCM Mfu! Hawezi kukubadi uteuzi wa CCM hata kama wakimlamba viatu
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,614
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Mengi ni chadema na ccm mfu
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  magwanda yanapohaha, CCM tutamsimamisha Padri Karugendo!
   
 5. a

  andrews JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,682
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ​muwekeni sheikh ponda
   
 6. W

  Wajad JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 872
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 60
  Katiba mpya ikiruhusu mgombea binafsi kabla ya 2015 lingezungumzika. Hata hivyo mzee umri umekwenda sana.
   
 7. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mchezo mchafu wa kilimanjaro hotel hautamtoka kichwani mwake.mbona mnaweweseka sana na mgombea wa 2015
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yani mnahaha mpaka unaanza kumfikiria mengi si mchezo
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Kazi ipo! ndo mmefika huko mapema hii!?
   
 10. u

  uhurubado Senior Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 25, 2007
  Messages: 193
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  kuna tofauti kati ya kampuni na nchi, hivi hamjaona yaliyomkuta yule tajiri wa italia beluskoni aliyekuwa wazirimkuu alivyotimuliwa na wataliano kama paka?
   
 11. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,660
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Hakuna mzalendo wa kweli atakayekikubali kiti cha CCM! Ni kiti cha mauaji na ufisadi! Ni kiti cha fitina na utapeli! Ni kiti cha uzinzi na ushirikina! Watanzania wengi sasa wanakiogopa kiti hicho!! Ni mchawi peke yake anayeweza kugombania kiti cha ccm!!!
   
 12. m

  majebere JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,324
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Hawezi kupewa kwa sababu ni wa kaskazini
   
 13. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 933
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huyu atashinda ila sema naye ni mzee wa nanihi kama nanihi
   
 14. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Iwapo atapitisha na kushindwa, tunakuwa na First Lady ambaye alishawahi kuwa Miss TZ.
   
 15. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Au Mchungaji Msigwa..
   
 16. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuliko wa Dr?
   
 17. SONGOKA

  SONGOKA JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,645
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 280
  huyu nae fisadi tu au mmesahau NICO
   
 18. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 756
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wananchi wengi wanaonekana kumkubali kutokana na misaada anayotoa kwa jamii ya kitanzania.Na hicho ndio kigezo wanachokifahamu wengi, ukiwauliza mengine hawajui.
   
Loading...