Ikitokea Ukafa Ukiwa Usingizini!

Ikitokea Ukafa Ukiwa Usingizini!

Kwani ukifa Uchi.Uchi cha ajabu nini hiko kidudu chako??
Hivi wenzetu muda wakuwaza mambo kama haya mnautoaga wapi jamani
Watu wa Dar hawana aibu!
 
Me naona aibu nikifa usingizini nikiwa uchi,bora kuungua,kuzama baharini au kugongwa na gari,maana yake ni kwamba nitakuwa nimetoka najielewa maana nimetoka nyumbani!

Utaona aibu saa ngapi na ushakufa?
au utafufuka kuja kuona maiti yako ikiwa uchi??
 
Ukiwa peke yako hujionei aibu wewe mwenyewe tu unaweza kufanya chochote
Tangu lini maiti akaona aibu
Lala utakavyo kifo kipo tu na hata siku moja kifo hakijawahi kuwa kitu cha kuonea aibu
Hujawahi attend watu wa ajali uone unawakutaje?
Dhamani ya mwanadamu ni huo uhai wako lakini ukifa oooo ni sijui nikwambiaje
 
Ndio,siku akifa mtu wako wa karibu hebu muweke uchi ule muda wa kuangalia maiti!

Wewe ni hamnazo mdozodozo
Et maiti aone aibu kuwa uchi?!
Uwe unajisafisha na kujitoa uchafu wote Kila siku kabla ya kulala na kuvaa Sanda ili kuepuka kuoshwa na kuchunguliwa liuchi lako kama ukifia usingizini
 
Sijawahi kuvuta bangi hata siku moja wala sigara ya kawaida,mirungi na powder situmii,imagine umekufa ukiwa usingizini!Marehemu babaangu alikufa Usingizini so inaweza kutokea hata kwangu au kwako!
Ni vzuri,,,,kufa usingizini nadhani inachangiwa na moyo au presha ,,, ila yote kwa yote kila mtu ameandikiwa kufa kwa namna yake,, pole kwa kufiwa na mzee
 
Kwani ukifa Uchi.Uchi cha ajabu nini hiko kidudu chako??
Hivi wenzetu muda wakuwaza mambo kama haya mnautoaga wapi jamani

Ahahahha, ,anaogopa watamchungulia kibamia chake,
 
Me naona aibu nikifa usingizini nikiwa uchi,bora kuungua,kuzama baharini au kugongwa na gari,maana yake ni kwamba nitakuwa nimetoka najielewa maana nimetoka nyumbani!

Ivyo Vifo unavyosema vina afadhali,,,Sijui kufa maji au kuungua au kugongwa na gari,muombe Mungu akuepushie mkuu,,,,kifo cha moto na maji ni mtihani mnoo,,, japo kifo akikwepeki, lakini ni jambo gumu mno,na hakuna anaekipenda kifo,, Mungu atujalie mwisho mwema mkuu
 
Me naona aibu nikifa usingizini nikiwa uchi,bora kuungua,kuzama baharini au kugongwa na gari,maana yake ni kwamba nitakuwa nimetoka najielewa maana nimetoka nyumbani!

So kama ukifa kwa ajari mtoa roho huwa anakufunika kama maungo yako ya siri yakifunuka? Omba kufa katika neema na si vinginevyo
 
Mh,Ila kulala bila nguo nacho kipaji.

Siku ya mabomu ilikuwa taabu kidogo.
 
Wee noma mkuu,utakuwa unaona aibu hata ukiwa umefwariki????hebu jaribu kukufa ukiwa orijino tuone ndugu zako watalichuliaje Kisha tutakutaarifu mkuu
 
Kwani ukifa Uchi.Uchi cha ajabu nini hiko kidudu chako??
Hivi wenzetu muda wakuwaza mambo kama haya mnautoaga wapi jamani
Rubii jamani rubii. Huyu mwenzetu alikuwa anawaza juu ya noa Yake akiyoahidiwa na JPM
 
Poleni na mihangaiko,
Nimekaa na kuwaza,Tukilala tunafunga milango,je tunajisitirije tukilala?ikitokea ukafa ukiwa usingizini,yaani ulale usiamke mtu au watu watakao kukuta kwa mara ya kwanza watakukuta na hali ipi?Hasa watu wa mikoa ya joto!
tapatalk_1499480735260.jpeg
 
Hahaaaa, sikui umefikiria nini kwa kweli, mm nalala na night dress, alafu mkono wakushoto nashika Mali yangu, yani sijui nikwann Niko hivyo
 
Subiri ukifa utaona then utaturudishia mrejesho,maana naona comments zote zinaonesha hawa watu hawajahi kufa ktk hali hiyo ndo maana hawana majibu mkuu.
 
Kwani ukifa Uchi.Uchi cha ajabu nini hiko kidudu chako??
Hivi wenzetu muda wakuwaza mambo kama haya mnautoaga wapi jamani
mkuu hivi kidudu kinatumika kwa jinsia gani vile?Nimekumbuka mbali sana.
 
Kwani ukifa Uchi.Uchi cha ajabu nini hiko kidudu chako??
Hivi wenzetu muda wakuwaza mambo kama haya mnautoaga wapi jamani
Wewe ni mdada mwenye akili nyingi sana.

(Coment zako nyingi ni nzuri.
Ukifa hata kama umevaa nguo, wanaokuja wanakuvua na kukuvisha sanda)
Posti hii haina mantiki, ukifa unakuwa umeshaondoka umeacha mwili ambao hauna thamani.
Ni takataka ya kuifukia tu.

I Salute You Rubii.
 
Back
Top Bottom