The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 559
Sasa aibu ya nini? watu wanakutwa uchi wakiwa hai na wanadunda mtani kama kawaida....sasa wewe unazungumzia maiti....Watu wa Dar hawana aibu!
Sasa aibu ya nini? watu wanakutwa uchi wakiwa hai na wanadunda mtani kama kawaida....sasa wewe unazungumzia maiti....Watu wa Dar hawana aibu!
Huna cha kuwaza kuwa utajielezea vipi!ukifa umekufa hata wakukute huna nguo tyr uumenda
Akishavaa bukta hlf asimame wima kabisa, asimame nga nga nga... asife kinyonge!Wkt wa kutaka kufa ukiwa usingizini kwanza utapata ndoto ya kukuarifu kuwa unakufa.Cha kufanya amka uvae bukta ulale tena ili ufe ukiwa umejisitiri
Na wasiwasi na umri wako...na akili yako pia..Me naona aibu nikifa usingizini nikiwa uchi,bora kuungua,kuzama baharini au kugongwa na gari,maana yake ni kwamba nitakuwa nimetoka najielewa maana nimetoka nyumbani!
Kuna mambo mengine maishani ukiyafikiria sana unaweza usipate jibu sahihi.Mkuu lala na nguo unaweza tu ukapata paralysis je itakuwaje?
Asilimia kubwa ya vijana wa kitanzania wana mawazo ya kipuuzi...Poleni na mihangaiko,
Nimekaa na kuwaza,Tukilala tunafunga milango,je tunajisitirije tukilala?ikitokea ukafa ukiwa usingizini,yaani ulale usiamke mtu au watu watakao kukuta kwa mara ya kwanza watakukuta na hali ipi?Hasa watu wa mikoa ya joto!
Kuijistiri kwa kuvaa mavazi ya heshima ni wakati wote,kuna watu mbona wanavaa mavazi yasiyo na staha na wanatembea nayo barabarani mchana kweupe?Poleni na mihangaiko,