Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 4,953
- 4,326
Mazungumuzo yanaendelea kati ya ACT-Wazalendo na CHADEMA kuweka mgombea mmoja wa urais ili kuongeza nguvu ya ushawishi wa kuing'oa CCM madarakani.
Sasa je, ikitokea vyama hivyo viwili vikaamua kumuweka Bernard Membe kuwa mgombea wao kwa nafasi ya Urais kwa manufaa ya vyama vyao, Tundu Lissu hatafanya kama alichofanya Dkt. Willbroad Slaa mwaka 2015?
Dkt. Slaa alitimkia Canada. Je, Tundu Lissu atatimukia wapi? Ubelgiji? Maana yeye tayari alishasema hatakubali.
Kwa kweli yajayo yanafurahisha.
Maalim Seif amtwisha Mbowe mzigo wa ushirikiano, yeye amjibu