Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
ccm inauwa watu sana.
swissme
Ni wapi hapo?Kama nakumbuka vizuri yule jamaa wa "Maisha bora kwa kila Mtanzania" aliahidi daraja hapo miaka 10 iliopita.
Katika nchi inayojali raia wake hayo yalitakiwa kufanyika hamsini iliyopita..ccm inauwa watu sana.
swissme
Kama nakumbuka vizuri yule jamaa wa "Maisha bora kwa kila Mtanzania" aliahidi daraja hapo miaka 10 iliopita.
Okee! Kwa maana hiyo hao jamaa wakitaka kuvuka mto waje Ubungo wachukue daraja!Litakuja, usiwe na kasi.
Tunajenga kwanza daraja la ubungo
Kamuulize yule msanii wa Msoga.Ni wapi hapo?
Okee! Kwa maana hiyo hao jamaa wakitaka kuvuka mto waje Ubungo wachukue daraja!
Hilo ndo jibu la kiume. Hata wale wa Kigamboni tuliwaambia " kama vipi pigeni mbizi!" Na hawakutunyima kura!Wanavuka mto kwenda wapi? waambie waache kuzurura. Kura tutakuja kuziomba huko huko
Hahahaa ninyi watu....Wanavuka mto kwenda wapi? waambie waache kuzurura. Kura tutakuja kuziomba huko huko
Hilo ndo jibu la kiume. Hata wale wa Kigamboni tuliwaambia " kama vipi pigeni mbizi!" Na hawakutunyima kura!