Ikigundulika kesi ya Mbowe haina uhalisia, taifa letu tutaingia kwenye mgogoro

Suala la ugaidi ni nyeti sana na ndio maana diplomats wanafuatilia kwa umakini na impact ya kutangaza ugaidi ugaidi, utaiona kwenye utalii na uwekezaji jumlisha na mambo ya hamza juzi kati hapo nalo wakadai ni ugaidi, wageni huogopa ugaidi kuliko hata ujambazi, hivo hiyo ni issue nzito
It is embarrassing to the government to continue washing its dirty linen in the public.
 
inawezekana Mbowe kaonewa au hajaonewa pia

la msingi tuache kupenda sana kuwatumia na kuwategemea wazungu kwenye harakati zetu, kama ni mapambano ni bora tukayafanya wenyewe hata kwa kupoteza 5m people lakini kwa kujitegemea wenyewe na sio kusaidiwa na walewale tuliowaita wakoloni....ukombozi wa kweli ni ule ambao tumeutafuta wenyewe..
"Bita ni bita tu Mura". Tutapigana ndani na nje ya nchi. "We need their support".
 
Suala la ugaidi ni nyeti sana na ndio maana diplomats wanafuatilia kwa umakini na impact ya kutangaza ugaidi ugaidi, utaiona kwenye utalii na uwekezaji jumlisha na mambo ya hamza juzi kati hapo nalo wakadai ni ugaidi, wageni huogopa ugaidi kuliko hata ujambazi, hivo hiyo ni issue nzito
Lkn cha ajabu viongozi wetu wanaona sifa kutangaza vitu vidogo kuwa eti ni Ugaidi,hata kubambikizia watu kuwa ni Magaidi bila kujua impact zake.
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha na hakuna marefu yasiyo na mwisho.

Kesi inayo mkabili mh Mbowe ya ugaidi nauhujumu uchumi hapa nchini imeanza kama masihara sana.

Leo hii mataifa ya ulaya na Marekani yameanza kuhisi harufu isiyo waridhisha kiasi wameamua kuwatuma mabalozi wao wakaisikilize hiyo kesi mahakamani.

Dalili hizi siyo mzuri kwa kesho ya taifa letu hasa kiustawi wa mahusiano ya kimataifa.

Taifa letu bado ni changa kiuchumi bado tunajitaji usaidizi wa kifedha ili kukidhi mahitaji ya kibajeti.

Ikigundulika hii kesi haina uhalisia taifa letu tutaingia kwenye mgogoro wa ajabu na mataifa washitiri wetu na hatimaye kuishi kama Zimbabwe .

Hawachini ni mabalozi wa Uingereza ,Sweeden na denimaka wakiifuatilia hiyo kesi mahakamani ili kujiridhisha.

Zimbabwe hawakutegemea kama taifa lao lingeingia kwenye mdororo wa kiuchumi kama walivyo leo hii.

Wanawapotezea mabalozi muda wao bila sababu. Watalipa gharama
 
na vp ikigundulika ni gaidi kweli? mtakua tayar kufunga ofisi za ugaidi?
 
Sisi tupo kwenye uchumi wa kati hatuhitaji pesa ya mtu! Tuna hela mpaka tunatamani tujivamie wenyewe kama Taifa
Jinga kabisa,km hiyo pesa ipo Kwanini mnakopa?,Kwanini mnaongeza tozo kwenye miamala ya simu?,Kwanini mnatuwekea kodi za majengo kwa njia ya LUKU?,Kwanini mnaongeza kodi kwenye mafuta kiasi Cha kupelekea mafuta kupanda bei??.
 
Ipo siku watatamani kuomba radhi lkn watakuwa wamesha chelewa
Namuona Mama akiwa na waandishi mitaa ya Mchamba wima huko miezi michache ijayo akiwa na wajukuu zake, akijutia hili miongoni mwa Mambo aliyotetereka kutotoa maelekezo sahihi kwa shinikizo la Gangs.
 
Back
Top Bottom