King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,807
They saylife end at 40
aaaah, life starts at 40, believe me you!
They saylife end at 40
Lakin by comparison between two group,vingi ulivyotaja apo juu utokea kwa watu below 40,ndugu yangu kama kufanikiwa nikuwa tajiri kuna source nyingi sana za kupata utajiri!
sasa mpendwa umeshaona weakness ya point zako
- self made( mtu yeyote anaweza kujituma akazipata haijarishi umri)
- illegal(mtu wa umri wowote anaweza akafanya illegal deal akatoka)
- inheritance( ata mtu wa miaka hamsini anaweza kurithi mali za nduguze akawa tajiri)
- luck( babu wa miaka sabini anaweza akacheza michezo ya kubahatisha,kamari akawa tajiri)
- talent( mungu anatoa kwa wote haina umri hiyo kama kuwa musician,commedian etc)
ila kwangu mimi binafsi mafanikio nikuwa na amani moyoni! ndio kitu muhimu sana,sijui kwa wengine ngoja tusubiri waje wajuaji watatujuza vizuri
Kama huna popote tuliam,mbona watu kibao wamechangia poin nzuri sana tena na za kujenga,kwa iyo wao ni wapuuzi.Mi naona huna jipya we kilaza tuage and money do not match and all I can say is that as much as each and every one of us has a right to an opinion or expression, I think that topic is suited for facebook not jamii forum.great thinkers discuss great issues that could one day propel this nation to a wise height. tuache story za kahawa.
Utajiri wa ukweli uko mbinguni :amen:
Hivi inaweza kuwa kweli ukifika umri wa 40,na hakijaelweka(kufanikiwa kimaisha) ni ngumu kufanikiwa(utajiri) baada ya apo?karibuni kushare .
Amina mtu wa Mungu.Utajiri wa ukweli uko mbinguni :amen:
Ni kweli Kiongozi.Obama wa bongo Mimi nimekupata vizuri sana, ila kuna kitu kimejengeka kwa baadhi ya watu kuwa "Behind every success there is a crime" Unalionaje hili?????
Umeona eeh! Huyo lazima atakua kula kulala ndio maana hataki kusikia habari hizi.Kama huna popote tuliam,mbona watu kibao wamechangia poin nzuri sana tena na za kujenga,kwa iyo wao ni wapuuzi.Mi naona huna jipya we kilaza tu
ndugu yangu kama kufanikiwa nikuwa tajiri kuna source nyingi sana za kupata utajiri!
sasa mpendwa umeshaona weakness ya point zako
- self made( mtu yeyote anaweza kujituma akazipata haijarishi umri)
- illegal(mtu wa umri wowote anaweza akafanya illegal deal akatoka)
- inheritance( ata mtu wa miaka hamsini anaweza kurithi mali za nduguze akawa tajiri)
- luck( babu wa miaka sabini anaweza akacheza michezo ya kubahatisha,kamari akawa tajiri)
- talent( mungu anatoa kwa wote haina umri hiyo kama kuwa musician,commedian etc)
ila kwangu mimi binafsi mafanikio nikuwa na amani moyoni! ndio kitu muhimu sana,sijui kwa wengine ngoja tusubiri waje wajuaji watatujuza vizuri
Na unaweza kuniambia mtu yeyote ambaye alishakuwa tajiri under the age of 40 ikiwa urithi wake sio wa kurithi?
Muondoe exceptional Bill Gates na founder wa FB
Hivi inaweza kuwa kweli ukifika umri wa 40,na hakijaelweka(kufanikiwa kimaisha) ni ngumu kufanikiwa(utajiri) baada ya apo?karibuni kushare .
Najihisi nina mafanikio hata kama 40 haijafka, ingawa cna gari,Kiwanja,n.k.Nina Elimu ya kutosha,nategemea kuoa,Nina Amani tele mwoyoni,Nna maisha ya Kawaida na ninafight niongezee mafanikio zaidi.Utajiri kama utakuja nitaupokea lakn ctaki wa kulazimisha,mf.kwenda kwa ...(KWANI KUNA HAJA GANI YA KUWA NA MAGARI AFU UNALALA CHINI,UNATEMBEA KWA MGUU,UNA NYUMBA LAKNI UNALALA NJE UNANYESHEWA MVUA?N.K)Namshkuru Mungu nna mafanikio.Kwa hyo 40 yrz bado sana.Mimi babu yangu ana 90yrz hana gari lakn mpaka sa izi ukimuliza anasema nna ndoto za kununua gari kabla cjafa.Do you see?Piga kazi,uckate tamaa,mwombe Mungu na ujipe matumaini hata kama uko beyond 40 unatoka.
Aaah, kama upo bongo unaweza kukutana na mafuriko ya fweza ukalala maskini ukaamka tajiri. Mbona kina EL wamekumbana nazo umri umesonga?
Nani amesema hayo? Kwangu mimi ni self belief tu. Ukiamua kufanikiwa utaweza kufanikiwa. Mwisho wa siku ni akili yako unaitumiaje kwa wakati huo....just out of curiosity, kwani Mengi na Mzee Ndesamburo wameanza kufanikiwa lini?