- Thread starter
- #281
thubutu nyoka wa makengeza anazo toka akiwa below 40.Nyoka WA Makengeza kazifumania akiwa Above 68 na bado anakula bata na vifaranga vya kuku.
Kupata hakuna formulae mzee bidii yako tu.
thubutu nyoka wa makengeza anazo toka akiwa below 40.Nyoka WA Makengeza kazifumania akiwa Above 68 na bado anakula bata na vifaranga vya kuku.
Kupata hakuna formulae mzee bidii yako tu.
Na umri wakufirisika ni upiHivi inaweza kuwa kweli ukifika umri wa 40,na hakijaelweka(kufanikiwa kimaisha) ni ngumu kufanikiwa(utajiri) baada ya apo?karibuni kushare .
bado kabisa miaka 40 Tz c ndiyo hata huruhusiwi kugombea uraisiHivi inaweza kuwa kweli ukifika umri wa 40,na hakijaelweka(kufanikiwa kimaisha) ni ngumu kufanikiwa(utajiri) baada ya apo?karibuni kushare .
Kuwa mshindiKwani kufanikiwa ndiyo nini
70Na umri wakufirisika ni upi