- Thread starter
- #21
wewe EL alikuwa tajiri kuanzia miaka ya 80s akiwa na umri wa 3os,Aaah, kama upo bongo unaweza kukutana na mafuriko ya fweza ukalala maskini ukaamka tajiri. Mbona kina EL wamekumbana nazo umri umesonga?
wewe EL alikuwa tajiri kuanzia miaka ya 80s akiwa na umri wa 3os,Aaah, kama upo bongo unaweza kukutana na mafuriko ya fweza ukalala maskini ukaamka tajiri. Mbona kina EL wamekumbana nazo umri umesonga?
Lakini kwa experince yako unazani wengi wanafanikiwa wakiwa above or below 40?Nani amesema hayo? Kwangu mimi ni self belief tu. Ukiamua kufanikiwa utaweza kufanikiwa. Mwisho wa siku ni akili yako unaitumiaje kwa wakati huo....just out of curiosity, kwani Mengi na Mzee Ndesamburo wameanza kufanikiwa lini?
Kitetei ata bajaji huna pole sana.Waaacha wewe!!ina maana mwaka huu ndio mwisho nijihesabu nimeshafuliaaa????yeleuwiiiii kya mana kyamng'anyia kya wamae lanywe!!!!
Hivi inaweza kuwa kweli ukifika umri wa 40,na hakijaelweka(kufanikiwa kimaisha) ni ngumu kufanikiwa(utajiri) baada ya apo?karibuni kushare .
Aaah, kama upo bongo unaweza kukutana na mafuriko ya fweza ukalala maskini ukaamka tajiri. Mbona kina EL wamekumbana nazo umri umesonga?
Mkuun umetisha,uchambuzi wa kisayansiNi kweli mafanikio katika maisha yako mengi. Ahsante kwa kuwa katika hili wewe umekuwa specific na ume focus kwenye utajiri na nahisi ni utajiri wa mali.
Utajiri wa mali ni relative term. Hakuna distinct line ya utajiri na umaskini na wala kipimo cha utajiri wa mali si kimoja. Utajiri wa mali unategemea sana na vision ya mtu katika maisha. Unahitaji uwe na nini ili uone kwamba uko satisfied kiasi kwamba sasa huna hitaji litakalokusumbua kulikidhi.
Mtu mmoja akipata nyumba yenye sakafu ya marumaru na choo cha maji ndani, na gari dogo na tractor la kulimia, huyo mtu hahitaji zaidi na atajulikana hata tabia zake zilizofichika. Wakati huo huo mtu mwingine ana miliki estates za mansions na ana boats, na ndege, bado anahitaji kumiliki visiwa katika kila continent na ikiwezekana hata afuge na viumbe wanaoishi katika sayari zingine.
Wakati hayo yote yanaweza kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na jitihada ama fursa anazobahatika mtu kuzipata, bado zinahitaji kuunganishwa na uwezo wa mazingira yake ili ziweze kuleta satisfaction. Kunahitajika conducive macro na micro environments kama vile political stability, responsive social and economic policies, supportive ecological and geographical conditions.
Ni kweli umri kama miaka inanafasi yake katika uwezo wa mtu ku pursue life visions lakini miaka arobani siyo kigezo. Inahitajika mtu awe na afya njema ya mwili, akili, nafsi na roho kitu ambacho kinamahitaji yake mengine zaidi ya miaka ya kuishi.
Mtu wa miaka sitini akiwa na positive mental, spiritual and physical health anaweza kuwa na uwezo mkubwa wa kufacilitate mafanikio ya malengo yake zaidi ya kijana mwenye miaka 30 ambaye ana ill health. Lakini pia anaweza ku-recover katika umri mkubwa zaidi ya 40 na akafanya zaidi ya muda wake wa utoto.
Kwa hiyo kijana usiogope umri. Fanya mambo yako kwa malengo na speed ndiyo huku ukilinda na kutunza afya yako. Lakini pia, chagua CDM itakayokujengea mazingira sahihi ya kufanikisha malengo yako. Na si ccm inayodumaza kwa huduma mbovu na udanganyifu.
Tuko pamoja.
umri wa kufilisika= undefinedNa umri wa kufirisika ni upi
Utajiri wa ukweli uko mbinguni :amen:
Hivi inaweza kuwa kweli ukifika umri wa 40,na hakijaelweka(kufanikiwa kimaisha) ni ngumu kufanikiwa(utajiri) baada ya apo?karibuni kushare .