Nitakuwa hapo Masaki, Chongqing Chinese Restaurant...
Kama jina linavyojieleza ni mwendo wa kula Zhongguo Cai (Chinese dishes)...
Nitaanza na Chaofan....hadi Tieban Nu Rou....
![]()
Bishanga una hamu ya kusutwa eehh ngoja nimwite Zion Daughter na Madame B waje wafanye kazi yao Mamndenyi darling leo ijumaa mwendo wa yale maeneo yetu ya kujidai sana Erickb52 na Arushaone wanahisika sana
stevoh salama mkuu. Mambo yanasemaje aise na mbona kimya sana aiseMr Rocky kaka shkamoo broo upooo??
Mamndenyi bora aione kabisa maana Bishanga anahitaji kusutwaCopy: Bishanga
i am happy you back.
Welcome back.
haijalishi najua unatafuta ili tuendelee kula good time town.stevoh salama mkuu. Mambo yanasemaje aise na mbona kimya sana aise
Tuwasiliane bana au simu ushahonga
ilitumbukia kwenye maji
Mamndenyi bora aione kabisa maana Bishanga anahitaji kusutwa
@Bishanga kwa wiki anasutwa hata mara tatu humu sijui kapatwa na nini
huyu bepari.
Mamndenyi am back japo kimagumashi bado nina mizunguko mbaya sijatulia kabisa