Wewe vivian hoja yako haituipokei !
Kivyovyote vile wewe kama mwanamke huwezitoa hoja chanya kwa mwanamke mwenzako, lazima utoe hoja hasi.
Wanawake hampendani.
Sasa kumbee!
Najua nikimpeleka may sister akibandikwa kalio la adabu, ntauza hapahapa Jf, wateja kibao hussusan Bishanga, Erickb52 , figganigga, Mungi, Mzee wa Rula, Slave ndiyo ntaanza nao biashara.