Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Sep 7, 2013 #141 figganigga said: Huyu Cantalisia ni mke wa ndoa wa Rejao. Cantalisia ni mtoto wa baba yangu mkubwa yaani Cantalisia ni dada yake Lady doctor na Passion Lady kwa baba mkubwa. Ntakua nawatambulisha mmoja mmoja bado mwingine hajaja Angel Msoffe. Mia Click to expand... daah kumbe tuna ukoo mkubwa hivi? Haya wataje na wengine tusije tukapigana vikumbo kwenye nyumba za wenyeji Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
figganigga said: Huyu Cantalisia ni mke wa ndoa wa Rejao. Cantalisia ni mtoto wa baba yangu mkubwa yaani Cantalisia ni dada yake Lady doctor na Passion Lady kwa baba mkubwa. Ntakua nawatambulisha mmoja mmoja bado mwingine hajaja Angel Msoffe. Mia Click to expand... daah kumbe tuna ukoo mkubwa hivi? Haya wataje na wengine tusije tukapigana vikumbo kwenye nyumba za wenyeji