Cantalisia hakuna njiwa ana peperuka hapo. figganigga sio njiwa ni mwanaume anyejua kujali penziNimeipata vivian nimeshakujibu tayari,
Dia hebu niambie ww uko upande gani maana sijakuelewa tumsaidie Heaven on earth njiwa wake anataka kupeperuka.
angalia ndugu yangu asijetokea mwenye mali shaurirooooo MIA
figganigga mbona husomeki??????Hatugombanii ufito wakati tunajenga nyumba moja. Hata hivyo bado Heaven on earth hajatoa baraka za kuvunja uhusiano so bado nipo kwenye mikono yake salama. Mia
Cantalisia hakuna njiwa ana peperuka hapo. figganigga sio njiwa ni mwanaume anyejua kujali penzi
Mdada wa bongo movie
Cantalisia unataka nikufanyeje uelewe. Madam B njoo nisaidie tu kuwaelewesha hawa watu wanaona labda mi namtaka figganigga wakati simtakiKweli kbs vivian ndio nimemwambia Heaven on earth atulize wenge ampe kijana raha.
Ladyfuraha upo?
Hatugombanii ufito wakati tunajenga nyumba moja. Hata hivyo bado Heaven on earth hajatoa baraka za kuvunja uhusiano so bado nipo kwenye mikono yake salama. Mia
mmmmh kaka angu anampenda
huyu manzi ujue Heaven on earth
hebu tulizana bana,watu hata pilau hatujala
mmeanza mapicha khaaaa!!
ninatafuta wana CC wa mbeya do you know any?
Cantalisia unataka nikufanyeje uelewe. Madam B njoo nisaidie tu kuwaelewesha hawa watu wanaona labda mi namtaka figganigga wakati simtaki
Hatugombanii ufito wakati tunajenga nyumba moja. Hata hivyo bado Heaven on earth hajatoa baraka za kuvunja uhusiano so bado nipo kwenye mikono yake salama. Mia
Cantalisia ndio niko busy kumchombeza hapa.hadi kielewekeNimeona Heaven on earth usijali nitaongea nawe ongeza manjonjo na mambo yetu yale na hicho kidumu chako piga chini nafasi yote mpatie figganigga atakuelewa tu