Ijuma

Nipo dearest.... mambo tu yamebana na nilikua nimeenda kumpokea Mentor baada ya wewe kua safarini ile last week. Mzima lakini? Ni siku nyingi kwa kweli.... You look as beautiful as always....

Thanks my wi!!! Mentor alipoondoka yaani hata sms. amerudi kimya kimya. kanichunia kama nini. siku ile tulipanga tukutane B bar sinza but I couldint make it coz nilipata Dharura so akachukia.

am now single but looking.
 
Tatizo Bagah bado ana machungu ya kukataliwa kwa hiyo anaweza kuja km mbogo....aliambiwa na Vivian "Bagah is player boy" Lol washenga wacha litushuke....

Hivi 52 umesoma sig ya Vivian? I am telling you hadanganyiki wala kushawishika ovyo! Why do you think she is my Wifi? lol
 
Yaani ugomvi wa miezi twende rudi aweka hadi leo? Atanitambua!

Wifi mie nakuomba saaana umvumilie na wala usimsogelee Bagah! Ngoja nikamtafute.
 
Hivi 52 umesoma sig ya Vivian? I am telling you hadanganyiki wala kushawishika ovyo! Why do you think she is my Wifi? lol
Hahahaaaa nimemsoma ila alikuja mwenyewe akasema ana moyo mpweke....anahitaji faraja na campany....lol Bagah akakitosa mh sasa ndo nashangaa kumbe yuko Single but available....
 
Yaani ugomvi wa miezi twende rudi aweka hadi leo? Atanitambua!

Wifi mie nakuomba saaana umvumilie na wala usimsogelee Bagah! Ngoja nikamtafute.

my wi. Mentor kanichunia mazima. nimuonaga hewani tu.
 
Hahahaaaa nimemsoma ila alikuja mwenyewe akasema ama moyo mpweke....anahitaji faraja na campany....lol Bagah akakitosa mh sasa ndo nashangaa kumbe yuko Single but available....

Hiyo post usiziingatie kabisa! Wifi yangu ana hasira...lol
 
my wi. Mentor kanichunia mazima. nimuonaga hewani tu.

Wori not my Wii.... all will be good, just hold that heart with care, namuambia mentor aandae chombo unique ili ahifadhie...lol
 
Hiyo post usiziingatie kabisa! Wifi yangu ana hasira...lol

Hahahahaaaaa nina evidence siunajua thread hazipotei lol bora anyamaze...ila chonde asinivurugie kwa my Amy....lol ntakufa
 
Tatizo Bagah bado ana machungu ya kukataliwa kwa hiyo anaweza kuja km mbogo....aliambiwa na Vivian "Bagah is player boy" Lol washenga wacha litushuke....

Asavali na wewe ulikaunafuu ! Ulikushuka wa ado'ado , niulize mie wa kiherehere Jazzband ! Ulinishuka hadi kifuani ! Tepweteee!
 
Ufike wapi na nani?
Tangulia nikupige na mjeledi.
Nimeahirisha we nenda mwenyewe naona unataka kunirudisha enzi za ujerumaniiiii....lol mi naenda zangu kwenye barua ya Lizzy
 
My darling, sweetheart..apple pie..hot chocolate drink..
my one n only..Vivian!
u know hata kwa sekunde moja i neva stopped thinking abt u where i was..
I really missed u...
I used to console myself with th song, "Like the snow coming down in June....I'm missing u- Case" u know it love??!
btw, i was nt mad at u..jus sad dat we couldnt meet..
bt now am back love, all for you..please say dat u'l b there 4me! please say dat ur heart is mine to kip! please..dont break my heart...
I missed u my love..happy to be back...

NB: Dada Ashadii..mob mob love...! love u sis...u jus th best....thnks for wat u did to ur wifi!!!😛izza:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…