Ijue Yanga ya Manji Katika picha

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Yussuf Mehoob Manji (Mwenyekiti), Clement Sanga (Makamu Mwenyekiti) na Wajumbe Mussa Katabaro, Lameck Nyambaya, Abdallah Bin Kleb na George Manyama.

Rais wa Yanga

Rais wa Yanga Yusuf Manji akitoa Shukrani

Nyambaya kulia, Manji katikati na sanga kushoto

Aaron Nyanda mgombea Ujumbe

Kamati ya Uchaguzi kazini

Mzee Akilimali akipiga kura

Isaac Chanji

Kifukwe na Mosha wakipiga kura

Mzee Jabir Katundu akipiga kura

Katundu anapiga kura

Akilimali anapiga kura

Wazee wanachukua karatasi za kura

Manji na Sanga

Jeshi la Miamvuli linakubalika kwa kila mtu, cheki jembe hapa anatoa peace

Jembe linapigwa muhuri baada ya kura lisije likafanya ujanja ujanja likarudia

Mzee Chabanga Hassan Dyamwale akimpiga muhuri mwanachama baada ya kupiga kura

Jeshi la Miamvuli; Katabaro, Bin Kleb na Manyama

Eric James Shigongo kumbe naye Yanga, siri imefichuka leo

Edgar Fongo kulia akiwa na Lawrence Mwalusako

Jamaa anasepa baada ya kupiga kura
Davis Mosha alikuja na gari hii, yenye thamani ya Sh. Bilioni 1. Hakuna mtu mwingine yeyote Tanzania mwenye gari hii. Na hadi sasa marekani kwenyewe anayo P Diddy tu.

Mosha anaondoka na gari lake la hatari

Hawa jamaa walikuwa wanaishangaa hii gari

:

Sioni gari la bilioni moja hapo ndugu na tena magari hayo yamejaa sana huko kwenu Tanzania.
 
KIM KARDASH umenikumbusha mzee Hassan Chabanga Dyamwale. Nakumbuk miaka ya nyuma alikuwa kwenye duru za michezo hapa nchini; nilidhani amepotea kumbe bado yupo.
 
Last edited by a moderator:
KIM KARDASH umenikumbusha mzee Hassan Chabanga Dyamwale. Nakumbuk miaka ya nyuma alikuwa kwenye duru za michezo hapa nchini; nilidhani amepotea kumbe bado yupo.
Kweli kaka,yanga ina wenyewe,na ndio hao sasa,kwa kumbukumbu tu mzee Dyamwale pia anae kijana wake Ngade Chabanga Dyamwale ambae alikua akikipiga Prison ya mbeya na baadae akamalizia soka yake hapo hapo Yanga.
 
KIM KARDASH umenikumbusha mzee Hassan Chabanga Dyamwale. Nakumbuk miaka ya nyuma alikuwa kwenye duru za michezo hapa nchini; nilidhani amepotea kumbe bado yupo.
Namkumbuka mzee Hassan Dyamwale kwani niliwahi kugusiwa kuwa ndiyo mchoraji wa ramani za viwanja mbalimbali vya michezo hapa nchini kama kile cha Lake Tanganyika kule Kigoma.
 
Last edited by a moderator:
Yanga kwa mbwembwe Uwanjani wanapata sifuri. Manji kaja kuua Yanga tu hana jipya.

Kama simba tu, ama hakika hakuna aliye mbele wala nyuma, soka la bongo ni rubbish ndo maana watu wko busy na soka la ulaya, ni kichefuchefu kwa kweli, need I say more?
 
Sioni gari la bilioni moja hapo ndugu na tena magari hayo yamejaa sana huko kwenu Tanzania.

bora we umesema.huyu jamaa anaonekana kilaza sana.cdhani km anajua hili gani linaitwaje.pdd unayemtaja alikua na gali km hili mwaka 1999 tena sio peke yake.by the way co kwamba bongo watu hawawezi kumiliki gali km hilo tatizo utapitisha barabara gani?ndio maana wabongo wengi wenye pesa utawaona wanatembelea gali za juu km hummer,vogue, range rover, zinazofanana na barabara zetu.
 
Yanga kwa mbwembwe Uwanjani wanapata sifuri. Manji kaja kuua Yanga tu hana jipya.
Mzee bado kauli yako hii iko vilevile au sasa umebadili mawazo?yanga chini ya "muuaji" wako manji ni bingwa kombe la kimataifa la nchi za africa mashariki na kati kwa mara ya pili mfululizo,una taarifa?
 
muuza ngada tu huyo hana lolote,ngoja uone kama wakina bahamuzi hawajabebeshwa ngada,hiyo gari ya bi 1 ndo inacheza nn,ndo maana mi nasemaga ukiwa yanga lazima mwisho wa cku utakuwa mwanga tu,ufahari wa kijinga jingaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom