moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Kitu kinacho niumiza sana kwa sasa Ni mateso anayopata mwenyekiti wetu manji alafu wanayanga Tumekuwa kimya bila kujuzwa hali ya mwenyekiti wetu
Haya Ndiyo Malipo anayositahili kweli kulipwa manji???
Wako Wapi wanachama wa Yanga waliokuwa wako bega kwa bega na manji kipindi hana matatatizo???
Wako wapi Mashabiki Wa Yanga wa yanga waliokuwa Wako pamoja na manji kipindi ni mzima???
Wako wapi viongozi wenzake na manji yanga waliochaguliwa pamoja Yanga....Naibu Meya wa manispaa ya kinendoni Na mjumbe wa kamati tendaji ya YANGA MANYAMA uko wapi???
Iko wapi wapi Bodi ya Ufadhili ya klabu ya Yanga??? Kina mzee kifukwe??? Mama fatuma karume?? NA Wenzako kina Mkuchika!!!
Wako wapi watendaji wa klabu ya YANGA!!!!
Kwannn Tumenyamaza hatuji swala la manji linaendaje
Viongozi wa yanga Tunaomba kujuzwa Hali ya mwenyekiti wetu wa Yanga Ikoje Uzima wake ukoje Kwann Muko kimya???
Makundi yote ya YANGA
MATAWI YOTE YANGA
Yale mabaraza ya Clabu yalioko nje ya katiba makatibu wake mko wapi????
Mzee akili mali Uko wapi????
Bakiri Bakere mwenyekiti wa vijana uko wapi???
Kaka angu Mdeka uko wapi???
Mama Tunu Yanga Uko wapi
Esta Yanga uko wapi
Tunaomba mtujuze manji yuko wapi na Anaendeleaje Tumechoka kuvumilia sasa Kuhusu manji Tunataka Apate haki zake Kama mtanzania mwingine Hajauwa!!!!
Nataka kujua haya ndiyo malipo ya manji yanga????
Asanteni ni Mimi kijana wenu wa siku zote Moody kabwe comredy siku 74 za mateso ya manji!!!! SASA YATOSHA