Ijue Top 10 ya nyama pendwa duniani

Ina utamu gani?
Muhimbili wamesema haifai
Ina minyoo inayoweza
Kusababisha kichaa
Wapambane na hali zao

Ina utamu usio kifani yaaani go and try km utatamani kuacha
 
Tumelijua lengo lako mkuu
 
Mlioko Kahama mjini butchery ya hiyo namba 1 naipata wapi?
 
1 na 2 sawa
Ila kuanzia 3, 4, 5.... Umechanganya 😂
 
Hii kiti haina dini
Mkuu chakula hakina dini. Mwili wa binadamu ndio unaochagua chakula kwa. maana utakapo kula aidha utapata kichefuchefu ama utatapika na sio vinginevyo. Wamasai walikuwa hawali vitu vingi kwa misingi ya mila ya kabila Lao, lakini leo wanakula samaki na mayai pia. Hawa ndugu na waarabu leo ni walaji wazuri wa porck. Kwa ujumla unategemea na mazingira uliyokulia.
 
Sawa lakini hawezi kuwa No 1.
 
Kwa hio Ng'ombe haliwi zaidi?
Hizo takwimu ni za Nje ya Africa.
Africa kitoweo no1 ni cow.
 
Na bado kuna dini haziruhusu ila bado inalika, kwa nini kina mudi msikubali tu kukataza nguruwe ilikuaga mistake
Mkuu haijakatazwa; bali inatakiwa iliwe kama una njaa sana na hamna chakula kingine. Kwa mantiki hiyo ni kwamba, kama wewe ni maskini na hauna uwezo wa kununua ama akupata chakula na wakati huohuo jirani yako ni mlaji mzuri wa pork na akakukaribisha, nawe una njaa, na hauna uwezo wa kupata chakula kingine hapo inabidi ujumuike naye kula pork.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…