Ijue SIRI ya number 13 kwenye Ndege..!!!

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
615
Reaction score
791
KWA TAARIFA YAKO: Ndege nyingi za abiria hazina siti namba 13. Baada ya 12 ama hufuata 14 au 12B.

Hii kwa sisi wakwea Pipa Line hizi tunajua maana yake kwa nini number 13 haiko kwa Siti.

Haya sasa kwa ambao tunafanya safari za ndege za South to Dar after 1week, tuambiane SIRI hiyo hapa tuwajuze wanaosubiria kupandishwa ndege na mabosi zao.
FB_IMG_1569338747638.jpeg
 
Kama unakwea pipa kila wiki na hauwezi kuelezea vizuri hiyo sababu tofauti kati yako na wazee wa mwendokasi ni ndogo sana.

Haya mambo inategemea na interest, kuna mtu hajawahi kupanda ndege na anaulewa mzuri tu kuhusu hii mambo.
 
KWA TAARIFA YAKO: Ndege nyingi za abiria hazina siti namba 13. Baada ya 12 ama hufuata 14 au 12B.

Hii kwa sisi wakwea Pipa Line hizi tunajua maana yake kwa nini number 13 haiko kwa Siti.

Haya sasa kwa ambao tunafanya safari za ndege za South to Dar after 1week, tuambiane SIRI hiyo hapa tuwajuze wanaosubiria kupandishwa ndege na mabosi zao. View attachment 1215181
Na pia akuna gorofa ya 13 mwenye jengo lolote hapa Duniani
 
KWA TAARIFA YAKO: Ndege nyingi za abiria hazina siti namba 13. Baada ya 12 ama hufuata 14 au 12B.

Hii kwa sisi wakwea Pipa Line hizi tunajua maana yake kwa nini number 13 haiko kwa Siti.

Haya sasa kwa ambao tunafanya safari za ndege za South to Dar after 1week, tuambiane SIRI hiyo hapa tuwajuze wanaosubiria kupandishwa ndege na mabosi zao. View attachment 1215181

Siyo 13 tu, hata Babu zake, 26, 39, 52 nk
 
1+3=4
1+7=8

4=2,8=4
=2
Sasa kama wewe kipindi cha somo la hesabu ulikua unajificha chooni
Nenda UK.anye
 
Back
Top Bottom