Ijue SIRI ya number 13 kwenye Ndege..!!!

Ijue SIRI ya number 13 kwenye Ndege..!!!

KWA TAARIFA YAKO: Ndege nyingi za abiria hazina siti namba 13. Baada ya 12 ama hufuata 14 au 12B.

Hii kwa sisi wakwea Pipa Line hizi tunajua maana yake kwa nini number 13 haiko kwa Siti.

Haya sasa kwa ambao tunafanya safari za ndege za South to Dar after 1week, tuambiane SIRI hiyo hapa tuwajuze wanaosubiria kupandishwa ndege na mabosi zao. View attachment 1215181
Viben10 huwa vina nyodo sana. Anaweza kukuuliza una njaa? Ukijibu ndio, anakuuliza tena kwani hujapika? Na maneno ya kujishaua. Huwa na tabia za kike. Wanahisi kwakuwa mashuga mammy wao wanawapandisha ndege, huhisi kila anayepanda ndege basi kalipiwa nauli.
 
Huu uzi ni mzito sana kwangu...sikumbuki hata kama kuna siku nimewahi japo kuigusa tu ndege yenyewe
 
Namimi ntapanda mwaka huu,nihakiki.
 
Kwenye baadhi ya jamii number 13 na 17 zinaaminika hazina bahati yaani unlucky numbers.

Hivyo bila shaka wameondoa hizo number kwa sababu za kibiashara yaani kwa ajili ya wateja wao ili kusawazisha mambo.
 
Back
Top Bottom