Ijue SIRI ya number 13 kwenye Ndege..!!!

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
KWA TAARIFA YAKO: Ndege nyingi za abiria hazina siti namba 13. Baada ya 12 ama hufuata 14 au 12B.

Hii kwa sisi wakwea Pipa Line hizi tunajua maana yake kwa nini number 13 haiko kwa Siti.

Haya sasa kwa ambao tunafanya safari za ndege za South to Dar after 1week, tuambiane SIRI hiyo hapa tuwajuze wanaosubiria kupandishwa ndege na mabosi zao.
FB_IMG_1569338747638.jpeg
 
KWA TAARIFA YAKO: Ndege nyingi za abiria hazina siti namba 13. Baada ya 12 ama hufuata 14 au 12B.

Hii kwa sisi wakwea Pipa Line hizi tunajua maana yake kwa nini number 13 haiko kwa Siti.

Haya sasa kwa ambao tunafanya safari za ndege za South to Dar after 1week, tuambiane SIRI hiyo hapa tuwajuze wanaosubiria kupandishwa ndege na mabosi zao. View attachment 1215181
Na pia akuna gorofa ya 13 mwenye jengo lolote hapa Duniani
 
KWA TAARIFA YAKO: Ndege nyingi za abiria hazina siti namba 13. Baada ya 12 ama hufuata 14 au 12B.

Hii kwa sisi wakwea Pipa Line hizi tunajua maana yake kwa nini number 13 haiko kwa Siti.

Haya sasa kwa ambao tunafanya safari za ndege za South to Dar after 1week, tuambiane SIRI hiyo hapa tuwajuze wanaosubiria kupandishwa ndege na mabosi zao. View attachment 1215181

Siyo 13 tu, hata Babu zake, 26, 39, 52 nk
 
1+3=4
1+7=8

4=2,8=4
=2
Sasa kama wewe kipindi cha somo la hesabu ulikua unajificha chooni
Nenda UK.anye
 
Back
Top Bottom