Ijue sheria ya viboko mashuleni

Ijue sheria ya viboko mashuleni

Watoto bila bakora hawaend, walimu ambao wako shule wanaelewa hii kitu, piga bakora nasema tena pigaa bakora mpaka akil ikae sawa

Bible yenyewe inasema
 
acheni uoga.....kupigwa na kufa au kuua sio mpango wa mwalim.....anyway ...ambaye ni mwalim wa shule ya secondary au ya msingi ajibu hapa : lengo kuu la adhabu ni nini? unajua wengi wenu mko nje ya field ya ualim....ngoja niwatolee mfano mmoja....mwaka 2016 nilkuwa field ya ualim shule flan ya sekondar DSM ...mara kaletwa bint wa f4 aliyemgomea mwalm kutoka darasan katika kipindi cha commerce na wakati yeye hasomi. katika kumuhoji akadai " mimi sioni kama ni kosa kumgomea mwalim kutoka darasani hata kama sisomi kipindi hicho" basi tulimchapa bakola 100++ mpaka akakiri kua n kosa na kuomba radhi ...heshima ikarudi.... msikopi Ulaya kila kitu.!!!! hii ni Afrika
Kama fimbo zingekuwa ni elimu basi punda angekuwa profesa.
 
Back
Top Bottom