Ijue Liberia

hapa ni 1990 doe kauawa baada ya kukatwa vidole vya mkono wa kulia, masikia na kakidole kadogo mguuni.

Sanko Wa RUF alikuwa na kamanda wake maarufu kwa aka ya "Mosquito yaani Mbu". Walisumbua sana kwa ushirikiano nae Taylor.
 
Kuna elimu kubwa sana humu JF ndio maana ni ngumu kutoka........nimemjibia,,,, Preta si ndio hivyo eeh!!
Yaah! jibu lako linasadifu penye ukweli kabisa tunapata ilmu nyingi sana humu na pia hupunguza kama sio kuondosha stress kabisaaaaa.
 
mkuu huyu mama alikuwa waziri wa fedha wa Tolbert ambaye alikuwa freemasons. kabla ya doe liberia ilikuwa chini ya vizazi vya wamarekani weusi ambao karibu wote walikuwa mafreemasons.
mkuu huyu mama alikuwa waziri wa fedha wa Tolbert ambaye alikuwa freemasons. kabla ya doe liberia ilikuwa chini ya vizazi vya wamarekani weusi ambao karibu wote walikuwa mafreemasons.
Tangu mlijue neno freemason imeshda sana tangu ni lini alikwambia yeye ni freemason na utwambie misingi ya ufreemason ni ipi?msiwe kama makinda ya ndege chochote kiletwacho na mama yake ni kupanua kinywa
 
Alifanyiwa ukatili mkubwa sana na huenda walimuua kimakosa kwasababu hawakuja adui yao ni nani.
 
Tangu mlijue neno freemason imeshda sana tangu ni lini alikwambia yeye ni freemason na utwambie misingi ya ufreemason ni ipi?msiwe kama makinda ya ndege chochote kiletwacho na mama yake ni kupanua kinywa
hilo suala kwa Liberia lipo kwenye historia yao. huwezi soma historia yao bila kusoma hilo.
 
hilo suala kwa Liberia lipo kwenye historia yao. huwezi soma historia yao bila kusoma hilo.
Sawa mkuu japo kuwa historia yake nimeisoma juu juu kweli inaonyesha alikuwa ni mjeuri. lakini swali linakuja huo ujeuri alikuwa anaupata wapi.
 
Mambo mazuri yanastahili sifa, obvious utakuwa umeumiza kichwa kutujuza, kudos mkuu
 
hapa ni 1990 doe kauawa baada ya kukatwa vidole vya mkono wa kulia, masikia na kakidole kadogo mguuni.

Duh...marehemu kafa na mav*z* yake kicheko kwa muoshaji,prezidaa alikuwa mchafu aisee hata kunyoa hayo madude.walimtesa kwelikweli kumbe walimpunguza na viungo,
 
Duu huyu Samauel Doe alikua Rais akiwa na umri mdogo.. Kama kweli alizaliwa 1951, na nikiangalia mwaka aliokufa napata shaka kua na wajukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…