Ijue Liberia

Mimi nadhani afadhali ya Liberia yamepita sasa nchi shwari tofauti na Somalia tangu mama yangu anazaliwa mpaka akawa msichana na sasa anawajukuu bado wanachinjana hakuna kusameheana
 
Liberia kumetulia kwa muda mrefu lkn ukumbuke ni dhamana ya UN
 
Asante wakuu Amavubi na @MshanaJr kwa historia nzuri,kweli jamaa walimpa hell la maana ila hakuna njia tunaweza kufanya tukaipata hiyo video alivyoburuzwa mitaani?ikiwezekana PM or utuwekee link ya kuipata.
 
Video imejaa udhalilishaji mkubwa ingia youtube utapata full version mwanzo mwisho hakikisha bundle liko vizuri
 
Hivi ile kesi ambayo yule mwanamitindo Naomi Campbell, aliitolea ushahidi kuhusu zawadi ya Pete ya Almasi aliyohongwa kwa kukojolewa mkojo mmoja iliishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…