Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,130
Reaction score
33,517
Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya kijana ambae anaanzisha familia kwa mara ya kwanza, ana stable income kuweza kuhudumia familia na yupo katika interval ya miaka 20-35.

Sasa kijana tumia kanuni ya VSP( virginity, submissive, productive)

1. VIRGINITY/BIKIRA
Kwanza kabisa nataka nikuakikishie kwamba wanawake bikira wapo, ugumu wa kuwapata utatokana na circle yako. Sasa nitaelezea sababu kuu 3 za kwanini unatakiwa kuoa mwanamke bikira

a. suala la kiroho.
Katika ulimwengu wa kiroho tukio ambalo linahusisha umwagaji damu ilo ni agano. Katika masuala ya kiroho damu ni alama nzito sana. Damu ya mwanamke bikira ambayo inatoka katika vagina anapoingiliwa na mwanaume kwa mara ya kwanza ule ni mkataba ambao hauvunjiki baina yao.

Hivyo basi mwanamke ambae umemkuta hana bikira hauwezi kutengeneza nae muunganiko wa kiroho kwa sababu katika ulimwengu wa kiroho uyo sio mke wako, ni mke wa mwanaume ambae alimtoa bikira.

b. Suala la saikolojia.
Katika hali ya kawaida kila mwanamke ana kumbukumbu ya maex wake kichwani. Kila kitu utakachofanya nae katika akili yake anakulinganisha na hao maex wake. Ni dhahiri hauwezi kuwazidi maex wake wote kwenye kila kipengere

Sasa ilo suala linamfanya awe na unstable emotions. Kila akifikiria kwa huyu alikua anapata hiki anakosa hiki, kwa yule alikua anapata hiki anakosa hiki, kwako anapata hiki anakosa hiki anakua hajui exactly anataka nini kwenye mahusiano/ndoa. Hapo kwenye vipengere ambavyo anahisi kuna upungufu ndipo zitakapoanzia dharau na tamaa ya kwenda nje kutafuta wa kumtimzia fantansies zake.

c. suala la heshima yako kama mwanaume.
Hakuna mwanaume mwenzako anaweza kukuheshimu ikiwa anaujua uchi wa mkeo. Awe alimchakata kabla au baada ya wewe kumuoa lakini kama tu anaujua uchi wa mkeo basi mwanaume uyo hawezi kukuheshimu, na hii ndio sababu kwamba kosa la mke kuchepuka halisameheki. Kuna watakaopinga kinafiki tu lakini ukweli iyo ndio saikolojia yetu wanaume.

2. SUBMISSIVE/MTIIFU
Heshima inaenda sambamba na utiifu. Utiifu ndio msingi wa kuhehimiwa na kusikilizwa kama kiongozi ndani ya nyumba. Marry a submissive woman who knows her strength lies on complementing man's role, not challenging it.

3. PRODUCTIVE/MWENYE TIJA
Lazima uzingatie huyu mwanamke analeta nini mezani, kumbuka hapa simaanishi lazima awe na mchango wa kifedha. Namaanisha ana mchango gani katika ustawi wa familia.

Kama ni mama wa nyumbani anaplay vipi part yake. Kila kitu kipo kimpangilio nyumbani?, anasimamia bajeti ya matumizi ya nyumbani bila kufuja hela kwa mambo yasiyokua na maana? n.k

Kama nae anatoka kutafuta hela, je hela anayopata kwenye kipato chake inaonekana katika ulipaji wa bills za familia?

HITIMISHO.
Kijana ukiamua kuoa unatakiwa kujua kuoa sio tu kitendo kuonyesha upendo na utayari wa kuanzisha familia na mwanamke, bali pia ni kitendo cha kuiweka hatma ya maisha yako kiuchumi, kiafya na kiroho mikononi mwa mwanamke. Take your time, vet properly, judge a woman harshly and ruthless based on her past.

Don't be a simp.
 
Screenshot_20250112-163104~2.jpg

Atakumaliza.
 
Hapo kwenye bikra 99% ya wanaume wameoa wake wasio wao.

Vipi kama kakosa bikra ila ana vigezo hivo viwili vingine (Productive & Submissive)
Au Kama ana bikra na hana hivyo vigezo vingine (Submissive & Productive)

Maana najua kupata full package ni 0.5%
 
Hapo kwenye bikra 99% ya wanaume wameoa wake wasio wao.

Vipi kama kakosa bikra ila ana vigezo hivo viwili vingine (Productive & Submissive)
Au Kama ana bikra na hana hivyo vigezo vingine (Submissive & Productive)

Maana najua kupata full package ni 0.5%
You can give a try at your own risk, lakini ni bora uangaike kwenye kutafuta kilicho bora kuliko kubeba tu gumegume yoyote ukiwa na mawazo utambadilisha ukimuoa
 
Wapo, ila nashauri waende kwa wanaume wenye sifa hizo hizo.
Mwanaume na mwanamke hawahukumiwi kwa kigezo kimoja, yaani sifa ambazo zinaweza kukupa muongozo katika kuchagua mke bora ni tofauti na zile za kuchagua mume bora,

mfano suala la body count kwa mwanaume inaweza isiwe shida lakini kwa mwanamke kama mileage ya body count inasoma namba kubwa iyo inamchafulia profile.

Vilevile kuna suala la kipato, mwanamke anaweza kuingia kwenye mahusiano/ndoa akiwa masikini ambae hana chochote na mahusiano yakaenda lakini mwanaume kuingia kwenye mahusiano/ndoa bila kuwa na stable income mambo yatakwama
 
Huu ushaurii namba 1 hauwahusu single father… muwaoe mliowazalisha kenge nyie
Mwanamke ndie gatekeeper wa sex na fertility. Hakuna ambacho kinaweza kufanyika bila mwanamke kuruhusu(labda abakwe), na kujua kama mwanaume ana future na wewe ni mpaka akuoe au angalao aje kwenu kujitambulisha rasmi. Sasa kama wewe uliruhusu irresponsible men na badboys wakuchezee na kukuzalisha huo ni ujinga wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom