Ijue Historia ya Firauni na uongo aliozushiwa

Kwanza tafsiri ya neno Indian maanake ni darkpeople kwa hiyo red indian ni darkred people na ataa Leo asilia yao waafrica plus Australia arbogine ni wafrica.nikupe changamoto Kama umepata kumsikia Nimrod huyu ndio muanzilishi na mtawala aliyepata kuwa na nguvu kuliko wote kutawala duniani nani mwaafrica mweusi .habari zaidi Google
Morenja kweli kuna mtu asiye mjua Nimrod?
 
Siri ya Utambuzi/maarifa iliyofichwa kwenye eye or Ra and Horus Inatumika sana kila pembe ya Ulimwengu hadi sasa!View attachment 499317

Kaka kuna kitu wanaita Jicho la tatu, yaani katika sense tano za Binadamu hii 3rd eye ndio sense ya sita na ndio iko powerful sana, hii sense inaanzia kwenye paji la uso na kwenda moja kwa moja kwenye unongo, jamii nyingi za kale walitambua uwepo wa hii sense ambayo na walikuwa wanaitukuza kupitia paji la uso, ndio maana unawaona wahindu wao huwa wanaweka Kidoti kwenye paji, hata wakristo huwa wanapaka mafuta kwenye paji la uso nk

Sasa ukiangalia hilo jicho la Ra na Horus ni replica kabisa ya section ya ubongo inayonasibishwa na 3rd eye, sense ya sita
image.jpg
image.jpg
image.jpg
 
Herode ni myahudi,gavana wa warumi
Gavana wa kirumi alikuwa Pilato, Herod alikuwa myahudi aliyekuwa chini ya kaisar augosto Mfaume wa warumi kupitia gavana wake pilato. Kama sisi tulivyo tawaliwa na ufalme wa kingereza kupitia gavana air. Edward twining na dolnard Cameroon, Richard Trumbull ....
 
Kaka kuna kitu wanaita Jicho la tatu, yaani katika sense tano za Binadamu hii 3rd eye ndio sense ya sita na ndio iko powerful sana, hii sense inaanzia kwenye paji la uso na kwenda moja kwa moja kwenye unongo, jamii nyingi za kale walitambua uwepo wa hii sense ambayo na walikuwa wanaitukuza kupitia paji la uso, ndio maana unawaona wahindu wao huwa wanaweka Kidoti kwenye paji, hata wakristo huwa wanapaka mafuta kwenye paji la uso nk

Sasa ukiangalia hilo jicho la Ra na Horus ni replica kabisa ya section ya ubongo inayonasibishwa na 3rd eye, sense ya sita
View attachment 499512 View attachment 499513 View attachment 499514
Pineal Gland, very interesting subject, uki google 'pineal gland spiritual ' uta come up with all different beliefs! Thanks
 
Unajua Sayansi yote ya Dunia iko kwenye Mapiramid na mapango ya pale Misri, kuna kila kitu mle, uzuri walikiwa wanaandika na wanaweka na picha

Hao ma philosophers wote wa kigiriki wanaosifika walipata elimu yao pale Alexandria na waliporudi kwao walionekana bichwa vya maana

Kuna kitu hao Wakigiriki wa kale walikuwa wanakiamini sana, uwezo wa mtu mweusi, mfalme wa Greece aliona mwanamke mweusi akiamini watoto wake watakuwa vichwa, baadae mfalme wa German nae akaja kuchukua mbegu pale Greece na kisha Waingereza nao wakachukua mbegu kutoka kwa wajerumani

Waingereza wanajitahidi sana kuficha identity ya Queen Charlotte lakini inakuwa ngumu, maana hata ukimwangalia Queen Elizabeth ana UAfrica kwa mbali

Queen Charlotte wa England

image.jpg

Charlotte of Mecklenburg-Strelitz - Wikipedia
 
lile lilikua ni pigo la mwisho la kuwaua wanajeshi wa farao wote kwa maji. ili kuthibitisha Ukuu alio nao Mungu.
sasa kama farao angekufa mambo hayo angeyaonaje?

hata movie zake wanaonyesha hakufa. alirudi akajuta sana.
 
kwa hiyo herode alikuwa Muzungu??? na alikuwa katika nchi ipi maana kuna siku nimesoma kuwa hiyo israel na misri walikuwa wanaishi watu weusi
kuna kitu hata mimi najiuliza.
wakati wa hukumu ya Yesu walitupiana sana mpira Herode/pilato
pilato nafikiri alikua Mtaliano
herode mfalme wa wayahudi.
halafu Yesu ni mgalilaya sasa hapo najiuliza wagalilaya wana tfauti gani na wayahudi?
 
Lakini kwa maono yangu, Huwa naona ule uzao wa Nut na Geb ndio wenye mamlaka ya kurun Dunia! Yaani Isis, Osiris, Seth, na Nephtysis. Huyu Seth tunaambiwa na wamisri kuwa alikuwa ndo muovu wa kwanza kwa kumuua Kaka yake Osiris kwa kumgawanya vipande vipande!
Mbali na kuwa Seth alishika mamlaka ya kuutawala ulimwengu kwa muda ila alikuja kunyang'anywa mamlaka na Horus! Ambae anatoka kwenye familia ya ISis na OSiris!
Kifupi tunaambiwa kuwa Familia hii ikawa na mamlaka ya Ulimwengu kabisa! Huku Osiris/Mungu baba Akitawala Underword na mwanae Horus/Ra Akitawala Ulimwengu! Na mama Isis akiwa ni mjumbe wa pande zote mbili juu na Chini!/Messenger/ Roho mtakatifu.
Nguvu ya Utatu wa hao watatu ndiyo inayourun ulimwengu hadi sasa, tangu siku Seth alipopinduliwa na Horus/RA.
Pia nguvu hiyo ya Utatu mtakatifu huwa kamilifu na yenye nguvu kuu pale Ra anapoungana na Oddoad god ajulikanaye kama Amon/Amun/Amen.
Huyu ni mmoja wa miungu Nane ya asili Katika dunia.
Hii ilikuwepo kabla hata ya Atum/Adam/Tem/ Mwanadamu wa kwanza kushuka ulimwenguni, Atum mwenyewe alikiri kwa Osiris kuwa Wakati anafika Ulimwenguni kwa mara ya kwanza alimkuta Amen akiwa hapa tayari! Maana ya Amun ni Nguvu isiyoonekana!
Odoad Gods ina miungu nane, hao ni wakongwe.

Miungu hao ni.
Nun na mkewe Naunet
Hehe na mkewe Hauhet
Kuk na mkewe Kauket
Amen na mkewe Amaunet

Wote hawa wana Vipawa tofauti mfano Hehe na mkewe Hauhet wao kazi yao ni kuusimamia Muda! Huyu ndiye Mungu wa muda/Mungu wa Miaka milioni na mlinzi wa Taifa la Misri kwa miaka milioni!

Na hao wengine pia wana majukumu yao kama Kek na Giza,
Nun na water of chaos!

Sasa kile kizazi cha Adam cha watoto Watatu yaani ISIS, OSIRIS, HORUS, kikishirikiana bega kwa bega na AMEN ndiyo wanaourun Ulimwengu kwa sasa!

Nategemea Maoni yenu wasomaji,
Kukosolewa pia
Ili tupate majibu ya mchawi ni nani Africa, na hii laana Imetokea wapi!? ISIS na wengine karibuni sana.
4c1459e4f7efa13db4a80fc1d0fe759b.jpg
Heh
 
Mkuu.mungu ni mmoja.hao wengine wanatoka wap
 
kuna kitu hata mimi najiuliza.
wakati wa hukumu ya Yesu walitupiana sana mpira Herode/pilato
pilato nafikiri alikua Mtaliano
herode mfalme wa wayahudi.
halafu Yesu ni mgalilaya sasa hapo najiuliza wagalilaya wana tfauti gani na wayahudi?
4816252bfa559f04d9ba455bdd0a5847.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom