Ijue Faida ya kuwa BOSS kazini

Ijue Faida ya kuwa BOSS kazini

beboss.jpg

Duh!!! Hii kiboko aisee.... bora niendelee kulima huku kijijini sina boss am happy my husband is my friend na sio boss wangu
 
Hahaha...hivi kumbe inawezekana mume pia akawa ni boss wa mke?

Duh!!! Hii kiboko aisee.... bora niendelee kulima huku kijijini sina boss am happy my husband is my friend na sio boss wangu
 
Kamwe hakiwezi kugeuka...muhimu hapo wa chini wanapigana vikumbo kukwea kwenda juu

Ya nini kutiana machungu wikend kaka watu8??!

Hii msg ni perfect for Monday bana..
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...ningetuma jumatatu nadhani wiki nzima ungenyong'onyea.
Kwa weekend ndio nzuri maana itakupa wasaa wa kutafakari namna ya wewe nawe kuwa BOSS.

Hapana mkuu wikend inakunyong'onyeza zaidi.

Monday inakupa morali wa kutafuta mbinu za kufanya fitna na wewe utoke.
Ila dah...hii picha imeniwazisha sana.
 
Hii ni hali halisi iliyopo makazini. Mkuu wa wizara anasema uwongo lakini ananyewa mkurugenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom